Tunakoelekea ni kugumu sana! haya masihara ya kuichukulia poa Corona,wakati nchi jiran watakapoanza kupokea watalii sio gonjwa hili kitakuwepo, maana kwa Sasa watu hawachukui tahadhali kabisa,misongamano ni mikubwa na ni hatar isiyo na tahadhali.
Watanzania wanaichukulia poa sana hii Corona. Tutatengwa na nchi jirani Kama ilivyo sasa, maana ukienda Zambia kwa sasa au Uganda au Malawi, wale jamaa wanatubagua sana kwa madai hatuichukulii serious Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app