toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Tatizo la Magufuli anatreat corona kama malaria, very stupid
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
na vifo ni 80k peoples.
le95epreaf4oi3ypllroyeyi9ubp5iyo9g abplhl9uoyuganda ipi unaizungumzia hiyo yenye dictator au mnajifanya hamjui leo hii???
nasema hivi,huu ugonjwa umekuja kutueleza ukweli wa misimamo ya baadhi ya watu,kumbe wengine hata hawana hisia zozote na hii nchi,wanachojali matumbo yao.
mpaka jana maambukizi uganda ni 121,vifo hakuna.
sijasikia mtu akijali kuhoji,ila ni unafiki lwa kwenda mbele.
na ndio maana watanzania wanamsikiliza mtu mmona tu,sababu hamuonyeshi nia nzuri katka hili janga.
keloopdy0tow OP o95tHuwezi kubadilisha tabia ya binadam hasa wenye uelewa mdogo kwa tamko. Sio wote wanajua hatari ya huu ugonjwa na sio kila mmoja atachukua tahadhari, kazi ya serekali ni ku-enforce kwa kupunguza nafasi ya yule asiejali kuto kuhatarisha wengine. Kwa mfano baa zinaendelea kufanya kazi mpaka leo! sasa mtu akishapiga vitu vyake akalewa what are the chances atazingatia hayo maelekezo? Ila akitoka hapo atarudi nyumbani kwa familia yake na kuwaambukiza. Kazi ya serekali ni kupunguza risk kama hizi.
Marekani technically sio nchi moja "united states" Trump hana mamlaka ya kufunga au kufungua state, hayo mamlaka ni ya gavana, ukitaka analysis nzuri angalia kila state kivyake. Marekani haikufungwa yote kwa siku moja, jimbo lilokua na maambukizi mengi lilikua New York na baada ya lockdown maabukizi yamepungua sana. Majimbo mengine hayakufungwa na ndo saivi yanaelekea kilele cha maabukizi kwaiyo ukiangalia marekani kwa ujumla huwezi ukaelewa chochote. Hii hapa graph ya maambukizi state ya New York.
View attachment 1446904
Mawasiliano ya kawaida kati ya mikoa mingine na Dar isitishwe ukiacha malori, kwanza elimu ya lockdown itolewe, wasio na uwezo wa kujikim kwa kipindi cha lockdown watambuliwe na serekali iweke mikakati ya kuwawezesha, Dar iwekwe lockdown ya siku 21, hata kama ni ya kupokezana kiwilaya, mass testing ifanyike na wagonjwa watengwe.
ishu kubwa ni kumanage maambukizi mapya sio lazima uishe kabisa. Watu 17 kwa population ya watu 1.4 biliion ni idadi ndogo sana
Wa kulaumiwa yupo jamuhuri ya watu wa chatto. Ameonyesha very weak leadership kwenye hili janga, mwanzoni kabisa alisisitiza ugonjwa upo na ni hatari, baadae ukawa ka ugonjwa kadogo. mara corona ni shetani, tuingie kanisani na misikitini tuombe siku 3. Mara ni futa sasa tujifukize litapasukapasuka. Mara tena tumepima mapapai fenesi, mbuzi na oil, kuna 'kirimino' inafanyika! Kidogo tu dawa imeshapatikana Madagascar natuma ndege. Saivi tena dawa inafanyiwa utafiti! What next?!
Time is money! mda uliopotea kwa haya maigizo tungechukua hatua stahiki korona tungesahau mapema sana. wenzetu wa Rwanda na Uganda walichukulia serious from day1 na wakatumia experience ya ebola saivi wanaendelea na maisha bila wasi wasi.
Walichelewa kuondoka hila haitasaidia kitu
Mbona hata Magufuli ni dictator! Kinachojadiliwa ni vita vya corona sio style ya uongozi wa mtu.Uganda ipi unaizungumzia hiyo yenye dictator au mnajifanya hamjui leo hii???
Usilete hisia za kike hapa, Utapoteza dira. Stick to the point!nasema hivi, huu ugonjwa umekuja kutueleza ukweli wa misimamo ya baadhi ya watu,kumbe wengine hata hawana hisia zozote na hii nchi,wanachojali matumbo yao.
Huwezi kumaliza corona kabla ya ku-manage maambukizi mapya, ie kupunguza kasi ya maambukizi. Kwa sasahivi Uganda wamefanikiwa kuzuia community transmission kilichobaki ni imported cases ambayo ni changa moto kwa uganda being landlocked wanategemea sana malori kutoka Tanzania na Kenya na hawa ndo wanachangia new cases kwa asilimia kubwa.mpaka jana maambukizi uganda ni 121,vifo hakuna.
sijasikia mtu akijali kuhoji,ila ni unafiki lwa kwenda mbele.
Huyo anaetapatapa ndo anaeonesha nia nzuri? Saivi anaona aibu kushirikiana na viongozi wenzie!!na ndio maana watanzania wanamsikiliza mtu mmona tu,sababu hamuonyeshi nia nzuri katka hili janga.
hii hatua ishapitwa na matukio. Kunamsemo wa kingereza unasema "one death is one death too many!"Hii ishu ikiisha vizuri yaani vifovisiwe vingi,Jiwe ataonekana jiniazi
Tusiposhikamana na kuamka sote, tatizo hili la Corona litatumaliza.
Moja kwa moja kwenye mada. Nimejipa wakati kuzungukia katika miradi kadhaa ambapo labda mabeberu nao walikuwa na mchango (makandarasi, washauri, wataalamu, wafanyakazi nk). Wote wameshamwaga mbio na kutuacha kurudi makwao.
Haiyumkiniki hata wale wa South Korea wa ku commission zile meli ambazo na pesa tulishawalipa, suala si ndege kuja, bali haiwaingii akilini ni vipi watu na akili zao timamu wanaweza kufikiria kuendesha maisha wakimchukulia Corona kama mshikaji wao tu.
Wengine wa karibuni wanaotukimbia tena ni hawa hapa:
Kenyans in Tanzania to be evacuated on Monday
Eeh mola wetu Farao alisalimu amri katika somo la kumjulisha mkuu alikuwa nani.
Hebu ukawaguse hawa viongozi wetu wakajue wanayo dhamana katika kuyahami maisha ya watu wao. Wakaweze kutambua maisha ya binadamu katu hayawezi kufananishwa na rupia.
Akili ndogo inapojishebedua kufikiri kwa kina.....
Ndugu yangu tambua kuwa wewe binafsi ndiye unayehitajika kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na COVID-19, ukizembea utakwenda na maji, na familia yako ndiyo itakayoathirika, siyo kiongozi wako, wala jirani yako!
Ndio kusema kuwa kama kila mtu katika atazingatia ushauri wa madaktari na viongozi ugonjwa huu utatoweka kama yalivyotoweka magonjwa mengine ya milipuko au vinginevyo, na maisha yataendelea....Usifuate mkumbo kwani wahenga walisema usimuige tembo kwa kila jambo....kama tunajali misamba yetu.
ok,hivi ni nchi gani hiyo ambayo kwao hakuna corona?Tusiposhikamana na kuamka sote, tatizo hili la Corona litatumaliza.
Moja kwa moja kwenye mada. Nimejipa wakati kuzungukia katika miradi kadhaa ambapo labda mabeberu nao walikuwa na mchango (makandarasi, washauri, wataalamu, wafanyakazi nk). Wote wameshamwaga mbio na kutuacha kurudi makwao.
Haiyumkiniki hata wale wa South Korea wa ku commission zile meli ambazo na pesa tulishawalipa, suala si ndege kuja, bali haiwaingii akilini ni vipi watu na akili zao timamu wanaweza kufikiria kuendesha maisha wakimchukulia Corona kama mshikaji wao tu.
Wengine wa karibuni wanaotukimbia tena ni hawa hapa:
Kenyans in Tanzania to be evacuated on Monday
Eeh mola wetu Farao alisalimu amri katika somo la kumjulisha mkuu alikuwa nani.
Hebu ukawaguse hawa viongozi wetu wakajue wanayo dhamana katika kuyahami maisha ya watu wao. Wakaweze kutambua maisha ya binadamu katu hayawezi kufananishwa na rupia.
Ugonjwa upo kila sehemu na hakuna aliyeumaliza sasa hata huko wanapoenda bado wao binafsi wanatakiwa kujikinga na wasipofanya hivyo nao watakufa tu kama wanavyokufa wengine.Kwa hakika heri kwenda kufa unapambana kuliko kufa ukiwa umejilaza kwenye mawe juani chamwino ukisubiri tu hatima yako ati kuwa hatima yako iko kwa Mungu.
ok,hivi ni nchi gani hiyo ambayo kwao hakuna corona?
Nadhani muda umefika wa kila mtu kutulia na kumwomba Mungu
bila kumwangalia jirani yake.Kama vile unapokuwa juu angani kwenye ndege
na rubani akatoa tangazo kwamba ndege ina hitilafu,huwa hakuna wa kumcheke
mwenzie hata kama utashuhudia jirani yako anatokwa na haja ndogo.
Corona ni janga la dunia hakuna wa kutamba kwamba
kwao ni bora zaidi,kama kuna nchi inaita raia wake kurudi kwao
acha waende,na wa kwetu atakayetamani kurudi nyumbani arudi tuu
maana ili ni janga na mpaka sasa hakuna mbabe.
Ugonjwa upo kila sehemu na hakuna aliyeumaliza sasa hata huko wanapoenda bado wao binafsi wanatakiwa kujikinga na wasipofanya hivyo nao watakufa tu kama wanavyokufa wengine.
Umuhimu ni kujikinga mwenyewe hilo ndio la kwanza ndio maana sioni mantiki ya mtu kutoka Tz kukimbilia nchi nyengine maana bado kote watu wanapambana na corona vita bado inaendelea hakuna kwenye usalama.Kujikinga wanakoenda bado ni muhimu lakini sembuse kunakofuka nyungu kila kona na takwimu (latest) kama hizi:
View attachment 1447906
Lastly updated Apr 29. Hizo ndiyo latest.
Kama hii haikufikirishi basi kuna tatizo mahali.
Umuhimu ni kujikinga mwenyewe hilo ndio la kwanza ndio maana sioni mantiki ya mtu kutoka Tz kukimbilia nchi nyengine maana bado kote watu wanapambana na corona vita bado inaendelea hakuna kwenye usalama.
Shida sio kupima shida maambukizi yameisha?Unajilinganisha na kwa Trump ambao mpk tarehe 08/05/2020 walishapima watu 8.3mil,bongo tumeshapima watu wangapi mpk sasa?
Hao WHO walifanya juhudi gani ili kuzuia ugonjwa usienee duniani ili hali walikuwa na taarifa kablakwa sasa mtu mzima mwenye akili timamu hawezi zingatia malalamiko ya WHO,wao wanataka waone mtu anapambanaje ili waone yuko serious?
mapambano yenye matokeo 0 ni mapambano au matumizi mabaya ya nguvu!!!!watwambia juhudi za mme wao zimezaa matunda gani kwanza.
nashangaa ndio maana trump akapanick na kuondoa donee,mana haoni function ya shirika lenyewe zaidi ya utumbo.Hao WHO walifanya juhudi gani ili kuzuia ugonjwa usienee duniani ili hali walikuwa na taarifa kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yasipoisha hako ni kaugonjwa kadogo saaana,MIMI KONI NGUZA MBOCHI.