mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,095
- 39,619
yah bila shaka inakaribia kuisha na kutokomea kabisa.east Africa sote tulipata corona kwa wakati mmoja , umeona wenzetu wanavyo pambana nayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
yah bila shaka inakaribia kuisha na kutokomea kabisa.east Africa sote tulipata corona kwa wakati mmoja , umeona wenzetu wanavyo pambana nayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
na vifo ni 80k peoples.Unajilinganisha na kwa Trump ambao mpk tarehe 08/05/2020 walishapima watu 8.3mil, bongo tumeshapima watu wangapi mpk sasa?
kwa sasa mtu mzima mwenye akili timamu hawezi zingatia malalamiko ya WHO,wao wanataka waone mtu anapambanaje ili waone yuko serious?Kingwangala ameulizwa kule Twitter hao watalii mnaotaka waje unadhani watakuja vipi wkt hata WHO inalalamika hatua dhaifu mlizochokua kukabiliana na Corona.
Unajua alichojibu?
Jamaa kajibu TZ ni nchi huru tusipangiane.
MWISHO.
Alisema hawezi kufunga mipaka ya nchi kwa sababu nchi zinazo tegemea bandari yetu zitapata shida sasa saizi nchi hizo hizo ndio zinatufungia mipaka mfano mzuri Zambia na RwandaTusiposhikamana na kuamka sote, tatizo hili la Corona litatumaliza.
Moja kwa moja kwenye mada. Nimejipa wakati kuzungukia katika miradi kadhaa ambapo labda mabeberu nao walikuwa na mchango (makandarasi, washauri, wataalamu, wafanyakazi nk). Wote wameshamwaga mbio na kutuacha kurudi makwao...
Waswahili wanasema: "na bado".Alisema hawezi kufunga mipaka ya nchi kwa sababu nchi zinazo tegemea bandari yetu zitapata shida sasa saizi nchi hizo hizo ndio zinatufungia mipaka mfano mzuri Zambia na Rwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sasa mtu mzima mwenye akili timamu hawezi zingatia malalamiko ya WHO,wao wanataka waone mtu anapambanaje ili waone yuko serious???
mapambano yenye matokeo 0 ni mapambano au matumizi mabaya ya nguvu!!!!watwambia juhudi za mme wao zimezaa matunda gani kwanza.
Kila mtu mjuaji kwa sasa!!
Wakishashiba tu kelele zinaanza mitandaoni...
Waukimbie na mlima Kilimanjaro wetuTusiposhikamana na kuamka sote, tatizo hili la Corona litatumaliza.
Moja kwa moja kwenye mada. Nimejipa wakati kuzungukia katika miradi kadhaa ambapo labda mabeberu nao walikuwa na mchango (makandarasi, washauri, wataalamu, wafanyakazi nk). Wote wameshamwaga mbio na kutuacha kurudi makwao...
Siyo ingependeza zaidi kama wasingetuachia na Corona yetu? Au unaonaje mkuu?Waukimbie na mlima Kilimanjaro wetu
Jibu sahihi.Kingwangala ameulizwa kule Twitter hao watalii mnaotaka waje unadhani watakuja vipi wkt hata WHO inalalamika hatua dhaifu mlizochokua kukabiliana na Corona.
Unajua alichojibu?
Jamaa kajibu Tanzania ni nchi huru tusipangiane.
MWISHO.
Makofi kwako mkuu[emoji1433][emoji1433][emoji1433]Mkuu unataka nini kifanyike ndo ujue kuwa serikali inashughulika na hili jambo? Tumeambiwa tunawe mikono kila wakati, tuvae barakoa ,social distance ifanyike,shule zimefungwa, viwanja vya ndege navyo pia,
Sasa Mimi najiuliza watu wanaolalamika kuwa serikali yetu umekuwa legevu ni kivipi? Hebu tuje na hoja za nini kifanyike,bila kusahau kule kwa Trump ambako anaongoza dunia kwa maambukizi na alijifungia akiwa na kesi kama 10/na sasa ameamua kujifungulia akiwa na kesi milioni moja, na maambukizi 20,000 + kwa siku...
Ukilinganisha pia na idadi ya watu milioni 330 wa Marekani na idadi ya watu milioni 60 hapa Bongo.Unajilinganisha na kwa Trump ambao mpk tarehe 08/05/2020 walishapima watu 8.3mil,bongo tumeshapima watu wangapi mpk sasa?
Soma vizuri nilichoandika na kama hujanielewa ni kwamba kwa kiasi kikubwa sisi wananachi hatufuati ushauri wa kujikinga na gonjwa hili. Kama uko Dar basi tembelea sehemu kama kariako, ilala, buguruni n.k.Unadhani ugonjwa upo kwa sababu ya madhaifu ya wananchi?
Wa kupigwa vijiko siyo hawa walioshindwa kuudhibiti ugonjwa hadi ukaingia nchini kwa tamaa zao za mapato?
Si hawa hawa walioshindwa kuudhibiti usisambae nchini kwa tamaa zao hizo hizo?...
Huwezi kubadilisha tabia ya binadam hasa wenye uelewa mdogo kwa tamko. Sio wote wanajua hatari ya huu ugonjwa na sio kila mmoja atachukua tahadhari, kazi ya serekali ni ku-enforce kwa kupunguza nafasi ya yule asiejali kuto kuhatarisha wengine.Mkuu unataka nini kifanyike ndo ujue kuwa serikali inashughulika na hili jambo? Tumeambiwa tunawe mikono kila wakati,tuvae barakoa ,social distance ifanyike,shule zimefungwa,viwanja vya ndege navyo pia,
Marekani technically sio nchi moja "united states" Trump hana mamlaka ya kufunga au kufungua state, hayo mamlaka ni ya gavana, ukitaka analysis nzuri angalia kila state kivyake. Marekani haikufungwa yote kwa siku moja, jimbo lilokua na maambukizi mengi lilikua New York na baada ya lockdown maabukizi yamepungua sana.Sasa Mimi najiuliza watu wanaolalamika kuwa serikali yetu umekuwa legevu ni kivipi? Hebu tuje na hoja za nini kifanyike,bila kusahau kule kwa Trump ambako anaongoza dunia kwa maambukizi na alijifungia akiwa na kesi kama 10/na sasa ameamua kujifungulia akiwa na kesi milioni moja, na maambukizi 20,000 + kwa siku
ishu kubwa ni kumanage maambukizi mapya sio lazima uishe kabisa. Watu 17 kwa population ya watu 1.4 biliion ni idadi ndogo sanaSasa kwa dhana hii nini kifanyike? China ambaye ugonjwa ulianza kwake mpaka Leo hii bado yuko na maambukizi lukuki,Leo ameliporti new cases 17 je ajifungie hadi mwaka mzima?
Wa kulaumiwa yupo jamuhuri ya watu wa Chatto. Ameonyesha very weak leadership kwenye hili janga, mwanzoni kabisa alisisitiza ugonjwa upo na ni hatari, baadae ukawa ka ugonjwa kadogo. mara corona ni shetani, tuingie kanisani na misikitini tuombe siku 3.Wakuu huu ugonjwa hauna wa kumlaumu kila mtu mikono juu,dunia ijitafakari na bila chanjo huenda ukawepo kwa muda mrefu
Uganda ipi unaizungumzia hiyo yenye dictator au mnajifanya hamjui leo hii???Huwezi kubadilisha tabia ya binadam hasa wenye uelewa mdogo kwa tamko. Sio wote wanajua hatari ya huu ugonjwa na sio kila mmoja atachukua tahadhari, kazi ya serekali ni ku-enforce kwa kupunguza nafasi ya yule asiejali kuto kuhatarisha wengine. Kwa mfano baa zinaendelea kufanya kazi mpaka leo! sasa mtu akishapiga vitu vyake akalewa what are the chances atazingatia hayo maelekezo? Ila akitoka hapo atarudi nyumbani kwa familia yake na kuwaambukiza. Kazi ya serekali ni kupunguza risk kama hizi.
Marekani technically sio nchi moja "united states" Trump hana mamlaka ya kufunga au kufungua state, hayo mamlaka ni ya gavana, ukitaka analysis nzuri angalia kila state kivyake. Marekani haikufungwa yote kwa siku moja, jimbo lilokua na maambukizi mengi lilikua New York na baada ya lockdown maabukizi yamepungua sana...