Huko kwao hakuna corona?
Huko kwao hakuna corona?
Tena imejaa waende tu
Kama usemayo ni kweli makosa ni ya nani? Tumeelimishwa tumeelekezwa tahadhari zote za kujikinga jee mlitaka mpigwe viboko au risasi kama wengine walivyofanya?
Kuna wakati kama wananchi inabidi tuwajibike tusitafute wa kumbebesha zigo hili. Tumeuuza sana kufuata maelekezo tuliyopewa.
Mkuu nadhani anaona sisi tunapambana zaidi. Maana tunachapa kazi kweli kweli.east Africa sote tulipata corona kwa wakati mmoja , umeona wenzetu wanavyo pambana nayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiposhikamana na kuamka sote, tatizo hili la Corona litatumaliza.
Moja kwa moja kwenye mada. Nimejipa wakati kuzungukia katika miradi kadhaa ambapo labda mabeberu nao walikuwa na mchango (makandarasi, washauri, wataalamu, wafanyakazi nk). Wote wameshamwaga mbio na kutuacha kurudi makwao.
Haiyumkiniki hata wale wa South Korea wa ku commission zile meli ambazo na pesa tuliLet them go wakafie nchini kwao
Utautoaje kwa mfano?
Tumeshachelewa,hatujajiandaa,ugonjwa uko kila sehemu.
Jilinde mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Let them go wakafie nchini kwao
Tunakoelekea ni kugumu sana!haya masihara ya kuichukulia poa Corona,wakati nchi jiran watakapoanza kupokea watalii sio gonjwa hili kitakuwepo,maana kwa Sasa watu hawachukui tahadhali kabisa,misongamano ni mikubwa na ni hatar isiyo na tahadhali.Watz wanaichukulia poa sana hii Corona.Tutatengwa na nchi jirani Kama ilivyo sasa,maana ukienda Zambia kwa sasa au Uganda au Malawi,wale jamaa wanatubagua sana kwa madai hatuichukulii serious Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingwangala ameulizwa kule Twitter hao watalii mnaotaka waje unadhani watakuja vipi wkt hata WHO inalalamika hatua dhaifu mlizochokua kukabiliana na Corona.Tunakoelekea ni kugumu sana!haya masihara ya kuichukulia poa Corona,wakati nchi jiran watakapoanza kupokea watalii sio gonjwa hili kitakuwepo,maana kwa Sasa watu hawachukui tahadhali kabisa,misongamano ni mikubwa na ni hatar isiyo na tahadhali.Watz wanaichukulia poa sana hii Corona.Tutatengwa na nchi jirani Kama ilivyo sasa,maana ukienda Zambia kwa sasa au Uganda au Malawi,wale jamaa wanatubagua sana kwa madai hatuichukulii serious Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kingwangala ameulizwa kule Twitter hao watalii mnaotaka waje unadhani watakuja vipi wkt hata WHO inalalamika hatua dhaifu mlizochokua kukabiliana na Corona.
Unajua alichojibu?
Jamaa kajibu TZ ni nchi huru tusipangiane.
MWISHO.
Mkuu unataka nini kifanyike ndo ujue kuwa serikali inashughulika na hili jambo? Tumeambiwa tunawe mikono kila wakati,tuvae barakoa ,social distance ifanyike,shule zimefungwa,viwanja vya ndege navyo pia,
Sasa Mimi najiuliza watu wanaolalamika kuwa serikali yetu umekuwa legevu ni kivipi? Hebu tuje na hoja za nini kifanyike,bila kusahau kule kwa Trump ambako anaongoza dunia kwa maambukizi na alijifungia akiwa na kesi kama 10/na sasa ameamua kujifungulia akiwa na kesi milioni moja, na maambukizi 20,000 + kwa siku...
Wako possessed na shetani. Hawajitambui.
Na huyu ni medical doctor.
Hivi hakuna taasisi za kuwapokonya hizi credentials usipo meet certain minimum criteria?
Wanadunisha sana professions hawa jamaa. Kwenye haya wana mchango wao mkubwa sana katika hii status quo of total failure.
Wataalam wanasema ni MD ambae hajawahi ku practice,ni dizaini kama za wakina 'kabundi' tu full kufundisha darasani sheria lkn hajawahi kusimama mahakamani hata kwa dawa.
Ila kiukweli katika kipindi nimekuja kudharau PH.d/usomi ni kipindi hiki,huwezi kutofautisha mawazo ya Mbunge Msukuma(darasa la 7 huyu) vs mawazo ya PH.d za wasomi mbalimbali.
Absolutely sir.Mkuu heri ya Msukuma na hata Kibajaji.
Wamesoma bila kuelimika.
Ni vizuri wakajua - "guys you are very useless indeed!"