Corona: Kutokana na kuichukulia poa, wageni wetu wafungasha kurudi makwao

Kingwangala ameulizwa kule Twitter hao watalii mnaotaka waje unadhani watakuja vipi wkt hata WHO inalalamika hatua dhaifu mlizochokua kukabiliana na Corona.

Unajua alichojibu?

Jamaa kajibu TZ ni nchi huru tusipangiane.

MWISHO.
kwa sasa mtu mzima mwenye akili timamu hawezi zingatia malalamiko ya WHO,wao wanataka waone mtu anapambanaje ili waone yuko serious?

mapambano yenye matokeo 0 ni mapambano au matumizi mabaya ya nguvu!!!!watwambia juhudi za mme wao zimezaa matunda gani kwanza.
 
"One who lacks the facultyty to feel another person's pain is not a man even though he may walk on two legs and speak English; he is an animal."
'WORLD WITHOUT END'
By Ken Follet
Page 1035

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisema hawezi kufunga mipaka ya nchi kwa sababu nchi zinazo tegemea bandari yetu zitapata shida sasa saizi nchi hizo hizo ndio zinatufungia mipaka mfano mzuri Zambia na Rwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hushangai kuokota dodo chini ya mnazi.
 
Kila mtu mjuaji kwa sasa!!

Wakishashiba tu kelele zinaanza mitandaoni...

Si ungemalizia kabisa kuwa halafu "misukule ndiyo pekee tunabakia wenye busara". Ingependeza zaidi.
 
Waukimbie na mlima Kilimanjaro wetu
 
ila kiukweli binti la mshua limesaidia kuondoa hofu sana, swali ni je, tunaweza kulimaliza tatizo kwa kudhani halipo?
Mimi sijui.
 
Makofi kwako mkuu[emoji1433][emoji1433][emoji1433]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani ugonjwa upo kwa sababu ya madhaifu ya wananchi?

Wa kupigwa vijiko siyo hawa walioshindwa kuudhibiti ugonjwa hadi ukaingia nchini kwa tamaa zao za mapato?

Si hawa hawa walioshindwa kuudhibiti usisambae nchini kwa tamaa zao hizo hizo?...
Soma vizuri nilichoandika na kama hujanielewa ni kwamba kwa kiasi kikubwa sisi wananachi hatufuati ushauri wa kujikinga na gonjwa hili. Kama uko Dar basi tembelea sehemu kama kariako, ilala, buguruni n.k.
 
Mkuu unataka nini kifanyike ndo ujue kuwa serikali inashughulika na hili jambo? Tumeambiwa tunawe mikono kila wakati,tuvae barakoa ,social distance ifanyike,shule zimefungwa,viwanja vya ndege navyo pia,
Huwezi kubadilisha tabia ya binadam hasa wenye uelewa mdogo kwa tamko. Sio wote wanajua hatari ya huu ugonjwa na sio kila mmoja atachukua tahadhari, kazi ya serekali ni ku-enforce kwa kupunguza nafasi ya yule asiejali kuto kuhatarisha wengine.

Kwa mfano baa zinaendelea kufanya kazi mpaka leo! sasa mtu akishapiga vitu vyake akalewa what are the chances atazingatia hayo maelekezo? Ila akitoka hapo atarudi nyumbani kwa familia yake na kuwaambukiza. Kazi ya serekali ni kupunguza risk kama hizi.

Marekani technically sio nchi moja "united states" Trump hana mamlaka ya kufunga au kufungua state, hayo mamlaka ni ya gavana, ukitaka analysis nzuri angalia kila state kivyake. Marekani haikufungwa yote kwa siku moja, jimbo lilokua na maambukizi mengi lilikua New York na baada ya lockdown maabukizi yamepungua sana.

Majimbo mengine hayakufungwa na ndo saivi yanaelekea kilele cha maabukizi kwaiyo ukiangalia marekani kwa ujumla huwezi ukaelewa chochote. Hii hapa graph ya maambukizi state ya New York.

Mawasiliano ya kawaida kati ya mikoa mingine na Dar isitishwe ukiacha malori, kwanza elimu ya lockdown itolewe, wasio na uwezo wa kujikim kwa kipindi cha lockdown watambuliwe na serekali iweke mikakati ya kuwawezesha, Dar iwekwe lockdown ya siku 21, hata kama ni ya kupokezana kiwilaya, mass testing ifanyike na wagonjwa watengwe.
Sasa kwa dhana hii nini kifanyike? China ambaye ugonjwa ulianza kwake mpaka Leo hii bado yuko na maambukizi lukuki,Leo ameliporti new cases 17 je ajifungie hadi mwaka mzima?
ishu kubwa ni kumanage maambukizi mapya sio lazima uishe kabisa. Watu 17 kwa population ya watu 1.4 biliion ni idadi ndogo sana

Wakuu huu ugonjwa hauna wa kumlaumu kila mtu mikono juu,dunia ijitafakari na bila chanjo huenda ukawepo kwa muda mrefu
Wa kulaumiwa yupo jamuhuri ya watu wa Chatto. Ameonyesha very weak leadership kwenye hili janga, mwanzoni kabisa alisisitiza ugonjwa upo na ni hatari, baadae ukawa ka ugonjwa kadogo. mara corona ni shetani, tuingie kanisani na misikitini tuombe siku 3.

Mara ni futa sasa tujifukize litapasukapasuka. Mara tena tumepima mapapai fenesi, mbuzi na oil, kuna 'kirimino' inafanyika! Kidogo tu dawa imeshapatikana Madagascar natuma ndege. Saivi tena dawa inafanyiwa utafiti! What next?!

Time is money! mda uliopotea kwa haya maigizo tungechukua hatua stahiki korona tungesahau mapema sana. wenzetu wa Rwanda na Uganda walichukulia serious from day1 na wakatumia experience ya ebola saivi wanaendelea na maisha bila wasi wasi.
 
Uganda ipi unaizungumzia hiyo yenye dictator au mnajifanya hamjui leo hii???

nasema hivi, huu ugonjwa umekuja kutueleza ukweli wa misimamo ya baadhi ya watu,kumbe wengine hata hawana hisia zozote na hii nchi,wanachojali matumbo yao.

mpaka jana maambukizi uganda ni 121,vifo hakuna.
sijasikia mtu akijali kuhoji,ila ni unafiki lwa kwenda mbele.

na ndio maana watanzania wanamsikiliza mtu mmona tu,sababu hamuonyeshi nia nzuri katka hili janga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…