Corona: Kutokana na kuichukulia poa, wageni wetu wafungasha kurudi makwao

Tatizo la Magufuli anatreat corona kama malaria, very stupid


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
le95epreaf4oi3ypllroyeyi9ubp5iyo9g abplhl9uoy keloopdy0tow OP o95t

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu ikiisha vizuri yaani vifovisiwe vingi,Jiwe ataonekana jiniazi
 
Uganda ipi unaizungumzia hiyo yenye dictator au mnajifanya hamjui leo hii???
Mbona hata Magufuli ni dictator! Kinachojadiliwa ni vita vya corona sio style ya uongozi wa mtu.
nasema hivi, huu ugonjwa umekuja kutueleza ukweli wa misimamo ya baadhi ya watu,kumbe wengine hata hawana hisia zozote na hii nchi,wanachojali matumbo yao.
Usilete hisia za kike hapa, Utapoteza dira. Stick to the point!

mpaka jana maambukizi uganda ni 121,vifo hakuna.
sijasikia mtu akijali kuhoji,ila ni unafiki lwa kwenda mbele.
Huwezi kumaliza corona kabla ya ku-manage maambukizi mapya, ie kupunguza kasi ya maambukizi. Kwa sasahivi Uganda wamefanikiwa kuzuia community transmission kilichobaki ni imported cases ambayo ni changa moto kwa uganda being landlocked wanategemea sana malori kutoka Tanzania na Kenya na hawa ndo wanachangia new cases kwa asilimia kubwa.

na ndio maana watanzania wanamsikiliza mtu mmona tu,sababu hamuonyeshi nia nzuri katka hili janga.
Huyo anaetapatapa ndo anaeonesha nia nzuri? Saivi anaona aibu kushirikiana na viongozi wenzie!!
Alafu 'No one person has the monopoly of wisdom'
 
Labda nachoona mh. Rais alichemka ni kutofunga mipaka tangu awali. Otherwise lockdown is morally unacceptable kwa nchi za dunia ya tatu kutokana na umaaluni wa vyombo vyake vya dola na udhooful hali wa uchumi wa watu wake.
 

Akili ndogo inapojishebedua kufikiri kwa kina.....
Ndugu yangu tambua kuwa wewe binafsi ndiye unayehitajika kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na COVID-19, ukizembea utakwenda na maji, na familia yako ndiyo itakayoathirika, siyo kiongozi wako, wala jirani yako!

Ndio kusema kuwa kama kila mtu katika atazingatia ushauri wa madaktari na viongozi ugonjwa huu utatoweka kama yalivyotoweka magonjwa mengine ya milipuko au vinginevyo, na maisha yataendelea....Usifuate mkumbo kwani wahenga walisema usimuige tembo kwa kila jambo....kama tunajali misamba yetu.
 

Ninahabarishwa kuwa kwa ID yako wewe bila shaka unaandika tokea pande za Chatto au una vinasaba vya huko.

Hii bagosha ndugu yenu katuchumia janga.

Nikukumbushe tu kuwa mnachodanganyana na ndugu yenu kuwa huu ugonjwa utaisha wenyewe (kama alivyosema kwenye mambo ya fidia), leteho! Hilo halipo.

Unayejishebedua ni wewe ndiyo maana unadhani wanaouugua au kufa kwa Corona ni uzembe wao.

Unadhani ingekuwa uzembe wao huyo jombi (mami) ange kuwa kafichama Chatto?

Eti ugonjwa utaisha wenyewe. Utakwisha vipi bila kuuona ukipungua?

Endeleeni kujifukiza nyungu. Kwani mnao muda mwingi basi?

It is just a matter of time.
 
ok,hivi ni nchi gani hiyo ambayo kwao hakuna corona?
Nadhani muda umefika wa kila mtu kutulia na kumwomba Mungu
bila kumwangalia jirani yake.Kama vile unapokuwa juu angani kwenye ndege
na rubani akatoa tangazo kwamba ndege ina hitilafu,huwa hakuna wa kumcheke
mwenzie hata kama utashuhudia jirani yako anatokwa na haja ndogo.

Corona ni janga la dunia hakuna wa kutamba kwamba
kwao ni bora zaidi,kama kuna nchi inaita raia wake kurudi kwao
acha waende,na wa kwetu atakayetamani kurudi nyumbani arudi tuu
maana ili ni janga na mpaka sasa hakuna mbabe.
 
Kwa hakika heri kwenda kufa unapambana kuliko kufa ukiwa umejilaza kwenye mawe juani chamwino ukisubiri tu hatima yako ati kuwa hatima yako iko kwa Mungu.
Ugonjwa upo kila sehemu na hakuna aliyeumaliza sasa hata huko wanapoenda bado wao binafsi wanatakiwa kujikinga na wasipofanya hivyo nao watakufa tu kama wanavyokufa wengine.
 

1. Ipo nchi iliyokataa kufunga anga lake hadi pale iliposikia mashirika yote ya ndege duniani wamefuta safari za anga?

2. Ipo nchi iliyokataa kufunga mipaka yake hadi majirani zake wote (zaidi ya 4) wanaomzunguka wakamfungia wao?

3. Ipo nchi iliyokataa kuchukua tahadhari kama inavyopendekezwa na shirika la WHO badala yake ikajikita kwenye maombezi, mitishamba au kufuka nyungu?

4. Ipo nchi ambayo haina taarifa mpya za huu ugonjwa tokea Apr 29?

5. Ipo nchi isiyo na watu quarantine au wanaofuatiliwa kuhusiana na huu ugonjwa?

6. Tuendelee kuongeza au kupunguza?


Ila isikupe taabu mkuu tuko vizuri na ugonjwa tulisha ushinda. Tuchape kazi.
 
Ugonjwa upo kila sehemu na hakuna aliyeumaliza sasa hata huko wanapoenda bado wao binafsi wanatakiwa kujikinga na wasipofanya hivyo nao watakufa tu kama wanavyokufa wengine.

Kujikinga wanakoenda bado ni muhimu lakini sembuse kunakofuka nyungu kila kona na takwimu (latest) kama hizi:


Lastly updated Apr 29. Hizo ndiyo latest.

Kama hii haikufikirishi basi kuna tatizo mahali.
 
Kujikinga wanakoenda bado ni muhimu lakini sembuse kunakofuka nyungu kila kona na takwimu (latest) kama hizi:

View attachment 1447906
Lastly updated Apr 29. Hizo ndiyo latest.

Kama hii haikufikirishi basi kuna tatizo mahali.
Umuhimu ni kujikinga mwenyewe hilo ndio la kwanza ndio maana sioni mantiki ya mtu kutoka Tz kukimbilia nchi nyengine maana bado kote watu wanapambana na corona vita bado inaendelea hakuna kwenye usalama.
 
Umuhimu ni kujikinga mwenyewe hilo ndio la kwanza ndio maana sioni mantiki ya mtu kutoka Tz kukimbilia nchi nyengine maana bado kote watu wanapambana na corona vita bado inaendelea hakuna kwenye usalama.

Hakuna kwenye nafuu kote sare sare maua?

WHO haukubaliki nawe.

Pana ka terminology wanaita epicenter of the pandemic. Hako kuna hatari kanatuhusu zaidi.

Tusijidhanie kuwa tumesimama sana mkuu.
 
Hao WHO walifanya juhudi gani ili kuzuia ugonjwa usienee duniani ili hali walikuwa na taarifa kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…