Corona: Kutokana na kuichukulia poa, wageni wetu wafungasha kurudi makwao

Acha propaganda za kitoto.
Sasa unataka tuchukue hatua zipi zaidi ya elimu inayotolewa kujikinga dhidi ya Corona?
Unatakaje sasa?
Acheni unafiki wazee, hii nchi ikifungwa hata wiki tu zaidi ya 80% ya watanzania hoi hata mlo wa siku moja haupatikani tutaanza kukabana kupata hata kopo la unga tu.

Huwezi kukaa ndani ukaangalia watoto wako wanakufa kwa njaa utalazimika kutoka liwalo na liwe hiyo ndo itakua kauli yako huku ukimtusi Rais wazi wazi.

Usijilinganishe na wale waheshimiwa wanaohimiza tuweke karantini nchi ilihali hawatatoa hata kilo ya unga kwa mwananchi wa manzese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao WHO walifanya juhudi gani ili kuzuia ugonjwa usienee duniani ili hali walikuwa na taarifa kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya WHO ni propaganda na kuwatisha watu ili kueneza hofu kwa maslahi ya watu wanaowajua wao.

Wapuuzi kabisa kila siku kutabiri Africa watakufa watu kadhaa sijui watu hivi mara vile, kwani huko America na Ulaya hawafi watu? Mbona hawatabiri?

Corona ni mradi wa watu kupiga hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…