Umewaza!
Yaani kuna kuunga mkono kwenye kuumwa korona?
Corona virus is overrated mkuu.Duh! Wagonjwa hadi wanatype wodini what the **** is corona?
Huu sasa ujinga ona sasa nachoma 70k kurudi nyumbani kisa chuo kufungwa wakati wagonjwa wanapiga simu na kusema wanaendelea vizuri.
Aaah
Itakuwa kweli sio kiki, unaweza kuta ndio hao uliosikia walikuwa ziara ya nchi kadhaa za Ulaya.Upumbavu mtupu!
Mbona hawa jamaa wanapenda sana attention?