Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Fake news...
Acheni uongo uongo Jf
Dont u have something else to talk about?
Hata link ulituma imekuwa revocated

Be aware of the law
 
ingekua hivi kujitangaza public kwa virusi vyote..

Sio mkuu bali nafikiri kama vile wanatafuta sababu ya kutokuhudhuria Kisutu kwenye kesi yao wanayodaiwa M337 ama ni janja ya nyani tu
 
Kwani meneja wa Diamond ni Mungu mpaka iee ajabu kuumwa?mtoa mada amepata taarifa watu bila kujiridhisha wanaanza "ooh ooh ooh"kama mazimwi vile.
 
Hofu ndio ugonjwa mbaya zaidi kuliko hata hiyo korona

Vipi kama watanzania wote tumekua tukiishi na korona ila hatukuwahi kulijua hilo mpaka pale tulipopata vifaa vya kuweza kupima ugonjwa huu?
 
yajayo yanahuzunisha bt NAWAZA TU KWA NINI MIUJIZA YA WATUMISHI WA MUNGU ISITUMIKE KWENYE MAJANGA MAZITO KAMA HAYA??

daily hutuambia roho mtakatifu huwapa maono juu ya mambo, kwa nini asiwaoneshe dawa ya corona hadi na wao wanawatumainia wanasayansi wasiomjua mungu??

au kale kausemi kua ni wachumia tumbo kanaukweli ndani yake??

nawaza tu watumishi msinipopoe
 
Vipi meneja wa Kiba kasemaje?(😂Joke) Btw mbona hajasubiri Ummy mwalimu amtangaze
 
Back
Top Bottom