Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Huu ugonjwa ulikuwepo toka last year Dec na wizara husika haikujua ni ugonjwa gani zaidi ya kusema tuu kwamba ni homa kali na itaisha. Nadhani kuna mchina aliupeleka huko Wuhan
Huu ndio ukweli haswa,nov-dec kulikuwepo na hali ya ajabu sana haswa dar na Arusha watu wamelazwa sana na homa haijulikani ni nini malaria si malaria wala dengue.
 
Hili linavyopenda Sifa Linafuraia kupata Corona, kaona hatangazwi kaamua ajitangaze Mwenyewe
usichokijua ni kwamba huyu ni miongoni mwa waliotangazwa leo,tetesi zake zilianza tangu juzi baada ya kuwekwa chini ya uangalizi.punguza negativity mkuu huu ni wakati mbaya sana usimdhihaki mtu kwenye hizi mambo, hivi unajua kwamba Mwana FA nae kala chuma?
 
usichokijua ni kwamba huyu ni miongoni mwa waliotangazwa leo,tetesi zake zilianza tangu juzi baada ya kuwekwa chini ya uangalizi.punguza negativity mkuu huu ni wakati mbaya sana usimdhihaki mtu kwenye hizi mambo,hivi unajua kwamba Mwana FA nae kala chuma?
Katangazwa na nani? Huyu kajitangaza Mwenyewe,

Usichokijua ni kua Serikali Imetangaza Idadi tu wala haijataja jina la mtu, Huyu kaona ajitaje apate kutrend
 
Katangazwa na nani? Huyu kajitangaza Mwenyewe,

Usichokijua ni kua Serikali Imetangaza Idadi tu wala haijataja jina la mtu, Huyu kaona ajitaje apate kutrend
Kuna jamaa anasema Mwana FA na meneja wa Wasafi anaitwa NAncy na watangazaji kibao wa wasafi wamepigwa karantine! Diamoind bado yuko Ulaya ameahirisha kurudi nchini kwa wiki tatu sababu ikiwa hiii kuogopa kuleta Korona!
 
Kama ungekuwa ugonjwa serious huku Afrika hawa Wasanii wetu wangekuwa bize wanapigania maisha yao, badala yake wako bize wanachat..

Corona is overrated..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sallam ana pesa so atapona si muda mrefu ila sisi ambao nikanyela umo umo hela ndo shida na wengi wanaojitangaza wanna uwezo wa kifedha we jiulize umemsikia kapuku gani kujitangaza?
 
Kuna jamaa anasema Mwana FA na meneja wa Wasafi anaitwa NAncy na watangazaji kibao wa wasafi wamepigwa karantine! Diamoind bado yuko Ulaya ameahirisha kurudi nchini kwa wiki tatu sababu ikiwa hiii kuogopa kuleta Korona!
Nancy ndio Nani?
 
Sema tu Kigogo ndo ka-break news ingawaje Mwana-FA mwenyewe kathibitisha kwamba nae yupo Positive
 
Sio mkuu bali nafikiri kama vile wanatafuta sababu ya kutokuhudhuria Kisutu kwenye kesi yao wanayodaiwa M337 ama ni janja ya nyani tu
Muhusika ni mondi ambaye yupo nje ya nchi tangu mwezi wa 3 uanze utasemaje kuumwa kwa sallam ni kisingizio Cha kutokwenda mahakamani? Wabongo kwa akili finyu amjambo
 
idawa,
Ni mpaka uthibitishwe, hata wewe unaweza kuwa na temp 37.5+C, lakini ni mpaka uthibitishwa una ugonjwa gani.
 
Huyu alitaka azungumzwe kwenye media kama ambavyo tunafanya sasa, baada ya kutokupigiwa simu na waziri.

Matokeo yake watu wenye mlo, au wale wanaotaka kutangazwa watajiambukiza kwa makusudi.

Nakumbuka yule dogo aliyechora zombi kwenye paper la mwisho akatangazwa na dr Dr Ndalichako enzi hizo, clouds walimpa coverage, akawa celebrate, akaanza hata kupata mademu, mwaka uliofuata waliongezeka, ili nao wawe celeb.

Hata yule aliyeruka ukuta uwanja wa taifa, alikua anajigongea mademu.
kuna yule shabiki wa yanga lia lia, etc
 
Back
Top Bottom