Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Ugonjwa wa wenye wako na ahueni Ku maisha

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Corona will score this kind of goal to Africa!
20200319_150039.gif
masoudkipanya_B93Xerxj6vC.jpeg
 

Attachments

  • masoudkipanya_B93Xerxj6vC.jpeg
    masoudkipanya_B93Xerxj6vC.jpeg
    69.7 KB · Views: 18
Huu ugonjwa bado sijauelewa kabisa mbona China Watu walikuwa hoi , Huku Tanzania wagonjwa hadi wanachati ! Tunaomba Mungu atunusuru na hili Gonjwa Hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa ugonjwa huu unaweza kuleta matokeo matatu, mild, severe and critical. Tafadhali angalia chart hiyo hapo chini na uzingatie

Stage of severityRough percentage of people with COVID-19
Mild disease from which a person can recoverMore than 80%
Severe disease, causing breathlessness and pneumoniaAround 14%
Critical disease, including septic shock, respiratory failure, and the failure of more than one organAbout 5%
Fatal disease2%
 
Huu ugonjwa ulikuwepo toka last year Dec na wizara husika haikujua ni ugonjwa gani zaidi ya kusema tuu kwamba ni homa kali na itaisha. Nadhani kuna mchina aliupeleka huko Wuhan
Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.
 
Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.


Mkuu amini ninachokuambia ulikuwepo huo ugonjwa sema hawa kujua ni nini?
 
Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.
Uwezekano wa kuwepo toka last year ni mkubwa, rejea post yangu hapo juu. Wengi tunaweza kuwa tulipata ''mild symptoms'' na kurecover bila hata kujua.
 
Ndio ulikuwepo tokea last year ndio maana unafupisha COVID-19(Corona Virus Disease 2019) na ungekuwepo muda huo wote bila kutambuliwa ba serikali tungekuwa tumeshapukutika mkuu.
Kama ungekuwa ugonjwa serious huku Afrika hawa Wasanii wetu wangekuwa bize wanapigania maisha yao, badala yake wako bize wanachat..

Corona is overrated..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom