Sasa itakuwa ni vurugu tupu bwashee!Kuna kitu hakiendi mbna wanajitangaza wenyewe, ndo mfumo ulivyo kwa sasa, kila mtu anajifanyia vipimo vyake na kujitangazia anaumwa, tutafika kwa style hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Mangula anaendeleaje?Sasa itakuwa ni vurugu tupu bwashee!
Anadai anaendelea vizuri.Duh, MwanaFa asivute pls! duh.
Hajambo bwashee!Mzee Mangula anaendeleaje??
Ingependeza hata pale inapotokea wameunganishwa kwenye gridi ya taifa pia watangaze, huu ugonjwa umeshakuwa ni kiki kwa kuwa wazungu wanajitangaza na wao wameamua kujitangaza
Msijaribu tena kumuua kwasababu amewafutia yale malipo yenu ya buku 7.Hajambo bwashee!
Vipi hali za majeruhi akina mama aka tumbiri?
Duh, MwanaFa asivute pls! duh.
La ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
Huyu Mwinyi Juma siyo wa kumtilia maanani sana.
Ugonjwa ushakuwa kiki mbona magonjwa mengine hawajitangazi?Ingependeza hata pale inapotokea wameunganishwa kwenye gridi ya taifa pia watangaze, huu ugonjwa umeshakuwa ni kiki kwa kuwa wazungu wanajitangaza na wao wameamua kujitangaza
Sijui kama vile vipimo vya airport vina maana yoyote. Ukiangalia wagonjwa wote wameingia kutoka nje.La ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
Majeruhi hawajambo lakini?Msijaribu tena kumuua kwasababu amewafutia yale malipo yenu ya buku 7.
inawezekana walioko majumbani na huu ugonjwa wakawa wengi zaidi...
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa naona waadhirika wameamua kujitangaza wenyewe
Watu wanafikiria nje ya box, huwezi tu kumuelewa huyu jamaa yohana mbatizaji.
Hii corona itaenda na mambo mengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
kina Mdee hawajambo.Majeruhi hawajambo lakini?