mlingoti west
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 252
- 195
Si wanasema makamu wa raisi wa Bunge la Bukina Faso kafariki kwa Corona mkuu!Enyi Wadanganyika, huu ugonjwa wa COVID 19 kwa Waafrika ni mafua tu. Kuna Mwafrika ambaye amewahi kufariki au kufa kwa mafua? Msipotoshwe na wanasiasa wa CCM.
Ndugu yangu... Vipimo wanavyofanya wasafiri wanapofika airport ni kupima temperatures tu na siyo ugonjwa. Ugonjwa ukiwa kwenye hatua za mwanzoni za maambukizi (kabla mtu hajaanza kujisikia vibaya) temperature inakuwa iko sawa. Na kuna wengine wanaweza kuwa wameambikizwa lakini joto lisipande.La ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
Huyo itakuwa "ngoma" Mkuu, ameona asafirie nyota ya corona kuficha aibu hiyo.Si wanasema makamu wa raisi wa Bunge la Bukina Faso kafariki kwa Corona mkuu!
Na mimi naulizia waliotwangwa twangwa!
Mwezi Ujao kunatrack anaachia...wabongo ndivyo tulivyoHuyu Mwinyi Juma siyo wa kumtilia maanani sana.
Hahahaaaa........msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Sumu haionjwi by mjumbe wa CC ya Chadema FT Sumaye!
alikuwa na kisukari pia, yawezekana ndio kimemuuaSi wanasema makamu wa raisi wa Bunge la Bukina Faso kafariki kwa Corona mkuu!
KunamemberLa ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
La ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
Sina jibu mkuu. Kuna nchi zimefunga ila Tanzania haijafunga.kama huu ugonjwa ni serious kama unavyokuwa unaonyeshwa na kusababisha hadi nchi nzima kuwekwa kwenye lockdown na pia kusababisha hasara za kutisha, kwa nini wasingefunga kabisa mipaka?
kuna kitu hakiendi mbna wanajitangaza wenyewe, ndo mfumo ulivyo kwa sasa, kila mtu anajifanyia vipimo vyake na kujitangazia anaumwa, tutafika kwa style hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app