mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,859
- 3,679
idawa,
Mkuu, hakuna ugonjwa hapa, ila kunakamchezo kakitoto tunachezewa. Ugonjwa ambao hauuwi eti ndio unaitwa hatari! Ukimwi, kipindupindu, TB, homa ya ini kansa nk.. haya yote tunayo na hayajawa na dharula za uhatari. Leo eti watoto wetu wanarudishwa nyumbani toka mashuleni na vyuoni kisa mafua? Masihara haya.... Ugonjwa ambao kiwango chake Cha kuuwa ni asilimia 0.02 ndio umekuwa hatari?