Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Nimeona video mtu anajirecod na wengine wanatuma kwenye mitandao yao kua wana corona, na kujinadi kua wanaendelea vizuri,
Mtu yuko hospital anapost ana corona, wengine wanajirecod na kupost wana corona, mimi sidhani ni jambo jema
Huu ugonjwa ni hatari, Sawa hawa wanaojifanya ma celebrate wakipost wana huu ugonjwa hatari huku wanacheka, nakijiselfie kujipost na inaleta picha gani?
Kwanza watu watadharau huu ugojwa, kua hauna kitu, mtu uko wodini inajirokod, unaandika inster unapost, si sawa!
Kumbe Covic ni simple hivi, mimi naona wanaleta masihara,
Watu wataendelea kudhara huu ungonjwa kama hatutakua serious
Mwana FA wa kwanza
 
Hukumsikia waziri Mwenye dhamana ya afya siku ya kwanza akiripoti mgonjwa wa kwanza aliyekuwa Arusha..

Baada ya kumaliza kuripoti alisema "mgonjwa anaendelea vizuri sana na matibabu"...

kama hao macelebrities wanakosea wanahitaji adhabu basi adhabu ianze na waziri umy teachaer

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna siku huyu mama alinichefua kama siku hyo. Itambulike tu Corona haijaanza leo wala Jana, ilikuwepo! Na ndo maana makopo ya delto kubwa yameuweka ugonjwa huooo hapo. Ummy alinichefua sana wakafanya ikawa movie kabisa na misamaha ya mgonjwa kwa watanzania!

Yule mshenzyy aliomba msamaha kwa kosa gani hasaa? Ama alijiambukiza ili aje atumalize watanzania? Ama alijiambukiza kimdomoni! Pumbavuuuu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heri wajitangaze tuchukue hatua stahili.... Maana Ile hesabu ili nitatiza kupata jibu sahihi 1+2+2=6....
 
SIKU ilipotangazwa sikusita kutoa utabiri haya ndio yatatokea

Idadi itaongezeka. Marufuku zitaongezeka

Mpira, ligi ama itasimama ama kuendelea bila washangiliaji

Watu maarufuu wataanza sisikika wameambukizwa na Corona wakiwemo pia wah
 
Watu sijui mnawaza kwa kutumia makalio..
Sheria ilivyo ni kwamba hairuhusiwi mtu yoyote kutangaza ugonjwa wa mtu bila ruhusa ya mgonjwa..lakini mgonjwa mwenyewe ana kila haki na ugonjwa wake iwe kuwaambia ndugu jamaa na marafiki kuhusu anavyoendelea na kujiskia.

Sasa sijui wewe hapo unataka watumie sheria gani kuwashtaki watu walioamua kujitangaza wao wenyewe kuhusu ugonjwa wanaoumwa wao wenyewe..

Yaani unachotaka ni sawa na wewe mwenyewe uumwe Corona then wakukataze kuwapigia simu ndugu zako na marafiki zako..
 
Corona hamasa iendeleee tu manake siku hizi mapemaaa watu wanarejea homeee
 
Wale ma nabii wa Bongo siwa sikiii. wanao jinadi kutibu adi ukimwi....wame jifungia ndani au

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Back
Top Bottom