Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
Wewe umejuaje Kama pale ni hotel?
Yaan baba alikua ananifurusha huyo na hubby..khaaa! Nimekuja choka boda wa moro eeti wana mask🤣🤣km vinyagi vile nimecheka sana...!missn u more dogo lake! Leo bang wap!Miss you dear.
Corona haipo, ila usiache kuchukua tahadhari 😀😀😀
Huoni amesaidia kupunguza hofu?kupitia maandishi au matamshi unaweza kujua mtu ni wa aina gani,i ignore you baki na ufal.a wakoView attachment 1393094
Bongo kila maigizo na siasa nyingiHakuna siku huyu mama alinichefua kama siku hyo. Itambulike tu Corona haijaanza leo wala Jana, ilikuwepo! Na ndo maana makopo ya delto kubwa yameuweka ugonjwa huooo hapo. Ummy alinichefua sana wakafanya ikawa movie kabisa na misamaha ya mgonjwa kwa watanzania!
Yule mshenzyy aliomba msamaha kwa kosa gani hasaa? Ama alijiambukiza ili aje atumalize watanzania? Ama alijiambukiza kimdomoni! Pumbavuuuu zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo...hasa kama habari hiyo haijatolewa na Waziri mwenye dhamana. Waziri wetu wa Afya.Je, wewe ukisikia msanii fulani ana corona unapata taharuki?
Tangu lini wasanii wakawa watu wa "maana"? Sijui kwanini watu huwa wanaabudu?Haya mambo tunaweza kuyachukulia kimzaha mzaha kama kipindupindu lakini athari zake zinaweza kuharibu uhusiano wetu nje.
Kama kweli mwana FA ana ngoma ya Corona basi Mungu amponye haraka maana tayari tunamlilia Aurlus.
Na kama siyo kweli basi awaombe radhi Afrika ya kusini na Dunia kwa ujumla kwa kuwa Corona inashughulikiwa kimataifa siyo kitaifa.
Ni hayo machache.
Mwana FA ni mwana ccm. Kwa nini msimuite mumkanye kwenye kile kikao chenu kama kilichomfukuza Membe?Haya mambo tunaweza kuyachukulia kimzaha mzaha kama kipindupindu lakini athari zake zinaweza kuharibu uhusiano wetu nje.
Kama kweli mwana FA ana ngoma ya Corona basi Mungu amponye haraka maana tayari tunamlilia Aurlus.
Na kama siyo kweli basi awaombe radhi Afrika ya kusini na Dunia kwa ujumla kwa kuwa Corona inashughulikiwa kimataifa siyo kitaifa.
Ni hayo machache.
Siyo kwamba wanaopona virusi vinakuwa bado viko mwilini, kinga ya mwili inapambana na kuvimalizacorona inauwa,kama hujafa leo jua badae lazima maana kinacho tibiwa ni dalili za ugonjwa lkn kirusi cha korona kina baki mwilini, sasa jiulize kirusi cha covid 19 kitaishi milini mwako hadi lini ?!
tafakari chukua hatua ya kujikinga usipate hiki kirusi ambacho hakina tiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona na uwanaccm ni vitu viwili tofauti kabisa bwashee!Mwana FA ni mwana ccm. Kwa nini msimuite mumkanye kwenye kile kikao chenu kama kilichomfukuza Membe?