Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

Nachofurahia hapa..siku izi Uwezo wa kujiuliza na kufikiria wa watanzania UMEONGEZEKA SANA..


Mtanzania wa sasa, huwez mdanganya kitu.
 
Hakuna siku huyu mama alinichefua kama siku hyo. Itambulike tu Corona haijaanza leo wala Jana, ilikuwepo! Na ndo maana makopo ya delto kubwa yameuweka ugonjwa huooo hapo. Ummy alinichefua sana wakafanya ikawa movie kabisa na misamaha ya mgonjwa kwa watanzania!

Yule mshenzyy aliomba msamaha kwa kosa gani hasaa? Ama alijiambukiza ili aje atumalize watanzania? Ama alijiambukiza kimdomoni! Pumbavuuuu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Not only dettol kubwa. Dettol za maji zote wameandika humancorona virus kabla hata corona hajaanza kutrend.

Mm natumiaga dettol ya maji miaka na miaka, sanitizer natumiaga kitambo maana sio muda wote maofisini wakati wa kula utaweza kunawa mikono nikawa natumia ile Leo corona kapaishwa hata sanitizer hazionekani.

Kingine zile lovellea, eti nazo sahivi zimekuwa sanitizer. Wakati mie miaka hiyoo nilikiwa natumia kama hand perfume na bei ilikuwa buku jero sahivi corona kazifanya zimefika hadi elfu 10.

Mm bado sana kuamini kuhusu corona TZ ila tahadhari najitahidi kuchukua maana sikuanza sbb ya corona
 
Kabisa mkuu ile homa kali ndo corona yenyewe na wachina wamepeleka kwao sasa dunia nzima inafaidi utamu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kabisa mkuu ni ngumu mtu kuelewa hii kitu lakini ndio hivyo
Ukizingatia sisi haa vifaa havikuwepo tuliishia kuambia ni homa kali na wengine walienda mbali zaidi wakadai ni blood infection. Kiufupi ile ya Dec ilikuwa corona yenyewe
 
Nani mwenye mamlaka ya kutangaza kuwa mtu huyu anaugonjwa gan pia huo ugonjwa sio wa mkoa n wa dunia nzima Sasa wanatutangazia ili iweje?

Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho sisi ambao hatuna pesa hatukijui Yan Mimi na wewe ambae huna hela
 
Huu ugonjwa ulikuwepo toka last year Dec na wizara husika haikujua ni ugonjwa gani zaidi ya kusema tuu kwamba ni homa kali na itaisha. Nadhani kuna mchina aliupeleka huko Wuhan

I concur with you. Wakipata technology ya kupima antibodies watakuta over 90% wanayo ikimaanisha walishaugua/kupata hawa wadudu na wamepita
 
Mwana FA amehojiwa na mwandishi na mtangazaji nguli wa Citizen tv Jeff Kainoge kuhusu maambukizi yake na namna alivyoupata.

Mwana FA ambaye alikuwa anahojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu kwa kiswahili amesema kwa sasa anaendelea vizuri lakini bado ametengwa mahali fulani akipata uangalizi kwa mujibu wa taratibu za kiserikali.

Mwana FA amesema kesho ndio siku ya 7 tokea apimwe kwa mara ya kwanza hivyo atafanya vipimo vya mara ya pili kujua kama bado ni positive au ameshapona.
Pia ametoa angalizo kwa watu wote kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa upo.

Source Citizen tv!
 
Alipimia hospitali gani vile?
Siku aliyopima ndo akapewa majibu na kesho siku ya saba imefika......
Ila MwanaFA ulikua umepotea kwenye media
 
Mwana FA amehojiwa na mwandishi na mtangazaji nguli wa Citizen tv Jeff Kainoge kuhusu maambukizi yake na namna alivyoupata.

Mwana FA ambaye alikuwa anahojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu kwa kiswahili amesema kwa sasa anaendelea vizuri lakini bado ametengwa mahali fulani akipata uangalizi kwa mujibu wa taratibu za kiserikali.

Mwana FA amesema kesho ndio siku ya 7 tokea apimwe kwa mara ya kwanza hivyo atafanya vipimo vya mara ya pili kujua kama bado ni positive au ameshapona.
Pia ametoa angalizo kwa watu wote kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa upo.

Source Citizen tv!
JAMAAA ANA VIPIMO VYAKE NN AISEE YUKO JUU KAMA CORONA
 
Sasa huyo anayemhoji hamuogopi mgonjwa? Na huko ndio kutengwa kwa aina gani akili yangu imekataa kuamini macho
 
Mwana FA amehojiwa na mwandishi na mtangazaji nguli wa Citizen tv Jeff Kainoge kuhusu maambukizi yake na namna alivyoupata.

Mwana FA ambaye alikuwa anahojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu kwa kiswahili amesema kwa sasa anaendelea vizuri lakini bado ametengwa mahali fulani akipata uangalizi kwa mujibu wa taratibu za kiserikali.

Mwana FA amesema kesho ndio siku ya 7 tokea apimwe kwa mara ya kwanza hivyo atafanya vipimo vya mara ya pili kujua kama bado ni positive au ameshapona.
Pia ametoa angalizo kwa watu wote kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa upo.

Source Citizen tv!
MWANAA -FATUMA KATUMWA NA JPM kuhadaa ulimwengu, tunajua na itawagharimu, na kama anao ajue corona inaua nguvu za kiume kwahiyo ndio basi tena huyu mwana fatuma
 
Back
Top Bottom