Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Huyo wamesha msahau sasa hivi anapambana na hali yake
In God we Trust
Mzee Mangula anaendeleaje??
In God we Trust
Mzee Mangula anaendeleaje??
Hajambo bwashee!
Vipi hali za majeruhi akina mama aka tumbiri?
Msijaribu tena kumuua kwasababu amewafutia yale malipo yenu ya buku 7.
Kama nyie mlivyomkosakosa Antipas!kina Mdee hawajambo.
NB
Msijaribu tena kumuua Mangula kwasababu tu amewafutia yale malipo yenu ya buku 7.
Sijui kama vile vipimo vya airport vina maana yoyote. Ukiangalia wagonjwa wote wameingia kutoka nje.
Inakuwaje hawakubainika airport?
Hapa tayari umeshapanic.Kama nyie mlivyomkosakosa Antipas!
Hivyo vipimo vinapima joto la mwili tu, haviangalii kama kuna virusi vya corona mwilini. Ilitakiwa tangu mapema kila anayeingia nchini awekwe chini ya uangalizi kwa siku 14 haijalishi kama ana joto la kawaida ama la.Sijui kama vile vipimo vya airport vina maana yoyote. Ukiangalia wagonjwa wote wameingia kutoka nje.
Inakuwaje hawakubainika airport?
Majeruhi hawajambo lakini?
Na mimi naulizia waliotwangwa twangwa!Tunaulizia aliyepewa sumu
In God we Trust
Najiuliza kama ameunganishwa kwenye ile list ya serikali. Kumbe kuna wanaoenda kupima wenyewe kwenye maabara kuu ya serikali?kuna kitu hakiendi mbna wanajitangaza wenyewe, ndo mfumo ulivyo kwa sasa, kila mtu anajifanyia vipimo vyake na kujitangazia anaumwa, tutafika kwa style hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa........msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Hapa tayari umeshapanic.
Airport wanawapima joto tu.Sijui kama vile vipimo vya airport vina maana yoyote. Ukiangalia wagonjwa wote wameingia kutoka nje.
Inakuwaje hawakubainika airport?
Nasikia hakuna kipimo cha Corona airportSijui kama vile vipimo vya airport vina maana yoyote. Ukiangalia wagonjwa wote wameingia kutoka nje.
Inakuwaje hawakubainika airport?
mimi hofu yangu tu sisiemu isije ikawa inawatumia hawa mastaa wa bongo wajitangaze ili kufanyike jambo fulani litakalo tuacha midomo wazi.
ngoja tuone mchezo unavyochezwa.
Hivyo vipimo hapo airport vina walakini,huenda ni usanii tu.La ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
La ajabu hawa wote wametoka nje ya nchi na kwenda kupima wenyewe..
Hakuna aliezuiwa airport na kupimwa..
Wagonjwa wote wanaingia tu
| C | O | R | O | N | A | |
| V | I | R | U | S |