Corona: Mizozo ya mipakani, wa kulaumiwa ni Tanzania


Mkuu ni wazi kuwa unaongelea mada tofauti au labda huna nia ya kujikita kwenye mada ambayo kwa ujumla iko wazi kabisa.

1. Unaongelea lockdown. Wapi umeona hilo kwenye uzi au mada hii tuliyo nayo mkononi?

Mada ni migogoro mipakani, kwa nini migogoro na nani wa kulaumiwa. Contents ziko kwenye uzi ambapo ningetegemea kanusho, boresho au rekebisho.

2. Unaongelea herd immunity ya Sweden. Hii inahusiana vipi na huu uzi? Huu uzi hauna cha kufanya na kinga yoyote ya mwili popote pale.

Zaidi pia labda niseme, unachosema "herd immunity" kuwa Tanzania imechagua. Hii ndiyo msimamo, tamko na sera rasmi ya serikali kuhusiana na ugonjwa huu?

Hii inastua sana, kwa maana wengine hatukujua hilo kabla ya bandiko lako hili.

Haya mambo ya kuchukua utaratibu kama huu bila kuulizana wala kushauriana mbona ni balaa jingine?

3. Wapi WHO katika nukuu zake zote mbili nilizokupa ambazo hukuzikanusha wala kuzikosoa umeona kuna lockdown au herd immunity?

Si Brazil, Canada, wala Sweden wenye tatizo na protocols hizo za WHO. Wote hawa bila shaka hata wewe unafahamu wazi wazi kwamba wanatambua kuwa wanaziheshimu protocols hizi za WHO kwamba:

A. Ugonjwa huu ni "pandemic which is a public health issue wala si state security issue."

Wanajua kuwa ugonjwa huu ni janga la kimataifa. Kuwa ugonjwa huu ni hatari, unauwa, hauna dawa wala chanjo ya kujikinga nao.

Yote haya ndani ya protocol #1 ya WHO kama nilivyokupa pale.

B. Ugonjwa huu tunaweza kuishi nao ukiwa umedhibitiwa vilivyo ndani ya protocols za WHO.

Hii kama ilivyo katika protocol yao #2 kama nilivyokupa pale.

Hadi sasa huna mmoja anayekiuka protocols za WHO kama nilivyokuomba umweke hapa. Wala anaye fuata misimamo ya Tanzania kuhusiana na protocols hizi kama nilivyokupa pale "in blue:"



Na jingine ni hili hapa:




Mkuu mengine niyaonayo kwenye bandiko lako ni mbwembwe tu nje ya mada ambazo hazitusogezi mbele hata kidogo kuhusiana na mada iliyopo.
 
Kawaambie mabwana zako tayari DC kashafunga mpaka. Sawa ondieki?

Kenyans are loosers for the second time..and they will continue to be loosers.

Pole sana poyoyo.

Mtanzania wa leo si yule wa jana.
 

Yani ninacho oongea kipo nje ya mada unataka kusema..? nimesoma paragraph ya kwanza tu na kusema kwamba naishia hapa katika mjadala huu, naona hutaki kunielewa na una majibu yako unataka nikupe.
Jumapili njema kaka.
 

Umeandika kwa hasira lakini makubaliano nchi iliyokiuka ni Kenya sio Tanzania. Sisi hatuna shida ya vitunguu nk kitu ambacho Tanzania itafanya sasa ni kuwa na viwanda vya ku-process mazao yetu humu ndani pasipo kusafirisha kwenda Kenya nk. Vile vile wale wanaotegemea Jomo Kenyata International airport lazima sasa waanze kutumia KIA. Bora shari kamili kuliko nusu shari.
 
Pole sana poyoyo.

Mtanzania wa leo si yule wa jana.

I can see how you're struggling to polish your swahili here bra.. which party of Tz do you coming from?

Hahaha its better you already know that Tz ya leo sio ya jana. Msalimie MK254
 
Yani ninacho oongea kipo nje ya mada unataka kusema..? nimesoma paragraph ya kwanza tu na kusema kwamba naishia hapa katika mjadala huu, naona hutaki kunielewa na una majibu yako unataka nikupe.
Jumapili njema kaka.

Waungwana "wanasema za kuambiwa changanya na za kwako." Wanaendelea na kumalizia - "you can tell the rest to the birds."
 

Sina hakika ni kwa mada ipi au uzi upi bandiko lako linahusika.

Hapa mbona burudani kabisa?

Niko safarini mkuu nikitokea 'Gamboshi' kuelekea 'ikungu lya bashashi' kwa raha zangu. Nasikia hasira zipi sasa?

Mkuu vyoo vina utambulisho wa picha na hata maandishi. Jiridhishe kabla mkuu, wewe si wa kwanza tumeona wengi *mawenge* hadi kwenye vya wenzi wao.

Kuwa na amani mkuu, hapa burudani kabisa.
 

Kuwaacha wavuke kama wao wamezuia kwa sababu yoyote, huo sasa si ndiyo itakuwa ni ujinga wetu? Wala hamna haja ya bottom line mkuu. Kwamba kuna mtu atahitaji kukumbushwa hilo? Mbona liko below common sense?

Hapana mkuu, kama kapita hata mmoja wao wakati sisi washatiwa munda, hiyo itakuwa hatuko serious. Ulichoandika wewe kwenye bottom line yako wanaita ni trivial. Sawa sawa na:

Zero + number.

Labda tu kama una shughulika na watoto wa chekechea.

Au wewe huoni hivyo mkuu?
 
Kama hataki we unamlazimisha wa nn au watanzania wannalia kwenda Kenya? Kila mtu akae kwake
 
Mtoa mada mbona unapanic ? Kwani lazima wakenya waje tz au wakena waje tz?

Mtoa mada ni jembe! Hapaniki wala hapanikishwi. Ulipenda a paniki mkuu?



Umesoma au umesomewa?

Umeona wapi penye ulazima wa wakenya kuja Tz bali *wakena* ndiyo sijui ni watu toka sayari ipi?

Kwa mawazo yako hii nchi ina mpaka na Kenya tu?

Mbona umepanic kiasi hujui kushoto kwako wala kulia kwako ni wapi?

Rudia kusoma ulichoandika kumtambua aliye panic ni nani.
 
Kwa mujibu wa ITV habari leo, ngoma bado mbichi. Vyuma bado vimeumana.

Si Rwanda si Kenya mambo bado, kumedoda. Na kwa mujibu wa memba huyu, wote hawa ni wakorifi tu na wengine wawili pia wapo:



Kwa maneno ya mwalimu, baba wa taifa (rip), ufupisho huu ungewahusu, "wote kabisa, wote. Wote maji ga nyanja." Mwisho wa kumnukuu.

Wote hawa ni wakorofi tu, isipokuwa sisi.

Eeh mola wetu hebu ukawape moyo wa subira kwa maana hawalijui walitendalo.
 
Aliyekwambia Tanzania kuna Corona ni nani! Mbona mnaimba sana Corona lakini hatuioni! So unaipenda Kenya kwa sababu ina Corona? Achana na wakenya, wao wapime na waijilock down, hata Tanzania hatuwataki.
 
Aliyekwambia Tanzania kuna Corona ni nani! Mbona mnaimba sana Corona lakini hatuioni! So unaipenda Kenya kwa sababu ina Corona? Achana na wakenya, wao wapime na waijilock down, hata Tanzania hatuwataki.

Aliyenambia Tanzania kuna Corona ni Rais Magufuli, Waziri mkuu Majaliwa, Waziri Ummy, Msemaji mkuu Abbas, pia makamu wa rais mama Samia.

Uliwahi kuwasikia wazito hao hata kwa majina tu?

Au wewe unadhani kauli zako zinaweza kulingana kwa uzito na za waheshimiwa hao?

Mkuu jitathmini kabla ya kuanika ujuha wako hadharani.
 
Kumbe ukitoa rushwa ya 2000 au 3000 ya Kenya unajaziwa kuwa huna corona unapita bila tatizo huko Kenya, madereva wa Tz wameeleza leo mbele ya naibu waziri wa afya.
 
Tuliwahi kuambiwa kuwapo kwa mheshimiwa aliye lia lia mpaka ukafunguliwa.

Mipakani hali bado tete, perishable goods zinaweza perish. Maembe, nyanyaso, ndizi, nk, zinaoza.

Vipi hakuna aliyeshalia lia bado wakawapunguzia wananchi wasio na hatia hasara?
 

Hawa hapa:



Nakazia:

Tuko vizuri!
 
Kwa kilichotokea Marekani kwa watu kukusanyika kiasi kile kwa ajili ya maandamano,basi tutegemee janga kuwa kubwa zaidi,kama hoja iko hapo,

Baada ya wamarekani kukusanyika kama sisi kule Kilimanjaro marathon vipi hadi leo hukupata mrejesho?

Au uliamua kuuchuna kivyako vyao jombi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…