Safi Sana! Tutaangalia madhara ya chanjo kwa majirani zetu hawa!! Baada ya miaka miwili kama hawajapata dhara lolote na sisi ndipo tutakapofikiria kuagiza chanjo!!
Unajua utata wa hii chanjo upo kwenye wale waliochanja bado kuogopa kuambukizwa Corona, hapo ndiyo utata huja,
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka miwili itakuwa inakukwepa tu hiyo coona.ikiwa mbinguni ni kwenuSafi Sana! Tutaangalia madhara ya chanjo kwa majirani zetu hawa!! Baada ya miaka miwili kama hawajapata dhara lolote na sisi ndipo tutakapofikiria kuagiza chanjo!!
Wewe unajuaje kama kadungwa chanjo alisi na si placebo? Viongozi wengi wamefanya usanii huo kuwazuga raia ili wakubali kuchanjwa - hakuna kiongozi mwenye akili timamu anaye weza kukubali yeye na familia yake kukubali kudungwa chanjo ambazo madhara yake haya eleweki eleweki, wengine wana end up na damu kuganda wengine wana ambukizwa virusi vya corona kupitia kwenye chanjo hizo.
Hatutakaa tupokee chanjo za Corona kama unataka nenda Kenya ukachanjwe, usifikiri watanzania wote ni WAPUMBAVU kama wewe.
Chanjo ya Covid-19 itakuwa na madhara makubwa kiafya kwa wote watakaochanjwa. Madhara yake yataanza kuonekana baada ya miezi 6 mpaka 9 kwa wahanga.
Hata hao Wazungu wanaoujua ukweli wanaiogopa hiyo chanjo kuliko "ukoma".
Tegeni sikio, mtakuja niambia.
Uko obsessed na corona, fanya kulala nayo kabisa.
Soma vizuri nilicho andika.Kwani wewe unajuaje hajadungwa yenyewe?
Kwani wewe ni yeye au mdungaji wake?
Yeye kasema kachanjwa una uhalali gani wewe wa kubisha hilo?
Mbona kazi ipo?
Soma vizuri nilicho andika.
Nimeipenda hii. Joshua mwana wa Nuni kutufikisha na kutupa urithi ktk nchi ya ahadi.
Tumeteseka miaka sita. Ukanda ukabila umetutesa sana. Kila msukuma alikuwa wakala wa tiss
Kwani unafikiri wanaotahadharisha watu ni akina nani kama sio hao hao wataalamu wa kizungu?Tofautisha wazungu na wataalamu. Pia tofautisha uzungu na kuelimika.
Kwani wazungu wao nani?
Kinga itengenezwe na wengine. Uwezo wa kutengeneza kinga hatuna. Ila mafundi wa kuona matatizo kwenye hiyo kinga tunao kweri kweri hadi wa kuweka definitive time frame kama hivyo?
Kwani ramli chonganishi zikoje?
Unajua ni nini maana ya virus mutation? Kwa mfano mtu akikuambia virus wame-mutate unajua maana yake? Watu wengi wasio na uelewa kama wewe wanapenda sana kuuliza ni kwa nini nchi zinazochanja watu wake zinasema kila nchi ichanje raia wake. Kwa kifupi ''virus mutation'' ni ile hali ya virus kujibadilisha. Kujibadilisha huku kunatokea wanapokuwa wanaambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Na kadiri wanavyozunguka kwa watu wengi bila kuzuiwa ndiyo wanavyozidi kujibadilisha. Hali inakuwa ya hatari wanajipobadilisha kwani wanaweza kuwa wakali na wenye uwezo wa kusambaa kwa kasi zaidi hivyo kuleta madhara kwa watu ambao mwanzoni walikuwa hawaathiriki. Kwa mfano kama umesema vyombo vya habari vya kimataifa jana wamesema kuwa kuna wasafiri watatu kutoka Tanzania wamekutwa na virus ambao wamejibadilisha zaidi na kuwa hatari kuliko hata wale wa Afrika ya Kusini. Kwa hiyo watu wanaochanjwa wanakuwa kwenye hatari kwa sababu wakisalia watu wengi ambao hawachanjwa na virus wakaendelea kuzunguka miongoni mwao basi baada ya muda watabadilika na kuweza kuwaambukiza hata wale waliochajwa. Kama unashindwa kuelewa basi wewe fikiria hivi: Kama mji fulani wakiamua kuangamiza vibaka wote na baadhi ya mitaa wakagoma basi wizi hautaisha kwani watabaki sehemu ambazo watakataa kuwaangamiza na kurudi kufanya uhalifu zile sehemu nyingine.Unajua utata wa hii chanjo upo kwenye wale waliochanja bado kuogopa kuambukizwa Corona, hapo ndiyo utata huja,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unafikiri wanaotahadharisha watu ni akina nani kama sio hao hao wataalamu wa kizungu?
Mark my words bro, it's only a matter of time.