CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

Na Mwendokasi wao huo,hatari tupu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwendokasi au mwendokaraha??
Kuuita mwendokasi ni kuupa hadhi isiyostahili..huu ni mwendokaraha...
Ilipaswa viongozi wote wa umma MaVX yapaki watumie huu usafiri...

Everyday is Saturday....................... 😎
 
Haina shida rc kwa hesabu yuko njema,hata pale msimbazi aliwahi kusema daraja litanyanyuliwa mita 300 kwenda juu.

So hio mambo za futi 6 kati ya mtu na mtu ni mambo ya kawaida hayo.
 
Upuuzi mtupu ugonjwa hauwez kuzuia kijinga eti kwa kuweka vifaa vya kunawia wakati hata kwa hewa tu unasambaa imagene wanaopanda daladala mbagala kkoo duh tuombe Mungu tu na kudhibiti mipaka hatuwez kupambana na huu ugonjwa ukiingia.

Bila shaka wewe hata elimu bure hakufanikiwa kupata.
 
Hapana mkuu. Haiambukizwi kwa njoa ya hewa. Ujinga (kukosa maarifa) katika jambo hilo ni mkibwa sana. Sijui unafikiri mask inazuia hewa? Huyo alovaa anapumuaje sasa??

Vidudu vya corona vilo katika mate na kamasi. Ndio maana contact na vitu hivo inaambukiza
Wewe pia kwa comment hii unapewa tiketi ya kuwa mwana ccm kama bado hujajiunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa mkoa wa DSM ametoa mwongozo rasmi wa kudhibiti uwezekano wa virusi vya Corona kuingia mkoani Dsm.

Mambo muhimu ni pamoja na vyombo vya usafiri kutojaza abiria kupita uwezi wake kisheria.

Vyombo vya kunawia kuwekwa katika stendi zote na majumbani

Kuepuka kusalimiana kwa mikono na kukumbatiana.

Pawapo na umbali wa futi 6 kati ya mtu na mtu wakati wa maongezi

Mh Makonda atafanya ukaguzi maalumu baada ya siku tatu kufuatilia utekelezaji wa maagizo yake

NB: Nitaweka tangazo la RC Makonda hapa.
Huyo ni mjinga kama polepole huo ushauri itakua kapewa na lemutuz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku Africa coronavirus ingefanya kuwatembelea wale wanaotoaga amri kutoka juu tu na wale wenye silaha za moto tu...corona kindly do us a favour tembelea hao tu raia tuache huru sisi hatuna ubaya na wewe mzee baba virus please
 
Back
Top Bottom