CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

Tatizo kubwa ni mwendo kasi na dala dala, unasema watu wakae mita sita wakiwa wanongea wakati kwenye mwendokasi ni kita sifuri inaingia akilini kweli?
Dala dala zitatakiwa kupakia level seat bwashee!
 
Dala dala zitatakiwa kupakia level seat bwashee!
level seat ni mita ngapi mkuu kati ya bairia na abilia? tuwe realistic tusilete siasa kwenye mambo ya hatari, mmiliki gani wa daladala atakubali japo kupakia level seat? tusiwe na kauli nyepesi nyepesi za kujifurahisha
 
inawezekana corona imeshaingia ila kwa usalama wetu wanaminya kwanza safi sana serikali
 
level seat ni mita ngapi mkuu kati ya bairia na abilia? tuwe realistic tusilete siasa kwenye mambo ya hatari, mmiliki gani wa daladala atakubali japo kupakia level seat? tusiwe na kauli nyepesi nyepesi za kujifurahisha
Mbona Kenya yale matatu yanapakia level seat bwashee.

Sema tu nauli italipwa per km!
 
Hapana mkuu. Haiambukizwi kwa njoa ya hewa. Ujinga (kukosa maarifa) katika jambo hilo ni mkibwa sana. Sijui unafikiri mask inazuia hewa? Huyo alovaa anapumuaje sasa??

Vidudu vya corona vilo katika mate na kamasi. Ndio maana contact na vitu hivo inaambukiza
Mkuu Jaribu ku reason basi sasa kama virusi viko kwenye mate na kamasi huoni kwa kupiga chafya na kukohoa kunaweza kupelekea kusambaa kwa ugonjwa?
 
Back
Top Bottom