Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Mwana tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment zingine za ajabu, duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jpm atakapokuja na sera za walimu wote wanaotoka nje ya Tanzania, permit work fee yao ni $4000,kwa miezi 6 ndio akili itawakaa sawa
That coward president is the one you are talking about?😂😂😂
 

Na hizi takwimu za uongo ulizoweka hapa umetoa wapi?

Nani kakwambia pamba ya viwanda vya Kenya ni 70% from TZ?Weka proof ya link au andiko hapa!

Na either way,huko wanakochukua hiyo remaining 30% ni wapi?Wanaweza chukua 100% huko huko wakiamua

India ndio biggest cotton producer in the world,not even close,nafatiwa na USA nusu ya tonnage zake!

Kutoka Punjab kupitia bandari ya Mumbai kupitia ghuba ya Uajemi kuja Mombasa sio mbali kiivyo wakiamua waende that route!

Tanzania haipo kwenye list,Africa inayoongoza ni Burkina Fasso kwa tonnage ndogo sana 185 Thousand Metric Tonnes,Tanzania hata metric tonnage hatujafikia.

Infact mtu mmoja akiamua anunia vipamba vyote huko Shinyanga ni one minute tu.Na pamba yenyewe ubora ni wa hovyo wanajaza maji na mawe eti uzito uongezeke!

What a shame!

Chakula ni very easy,Chakula cha TZ hakitoshi popote,Kenya wanaweza kata order anytime

Kama ulikua hujui biggest exporter wa maize to Kenya ni Uganda,na bado haitoshi wana import kutoka Brazil

Sukari haitoshi,wana import kutoka nje,hadi samaki wananunua toka China,Kenya wakiamua kukata ties na TZ hawaathiriki chochote,wao hua wana import regardless

Hii kiburi sijui tunaipata wapi wakati dunia inapambana kutafuta masoko,sisi tunajifanya hatutaki soko fulani sababu mawe kasema who infact thinking is not his strength at all.
 
Hahahaha, Kenya wana import kila kitu, hivi karibuni wata import "MAJI" toka China kwa sababu ya Upungufu wa MAJI katika jiji la Nairobi, pia UMEME ni shida itabidi wa import toka India kwasababu sio mbali na Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Naongeza msistizo never argue with a fool, mpakani wakulima wapo wanaoweza leta bidhaa zao sokoni.si lazima nchi nzima ilime ndio watuuzie,think [emoji848]
wewe ni mweupe buda kubali[emoji23][emoji23]
 
Ukosefu wa maji nairobi kila mtu anajua ulitokana na mafuriko na landslides kuadhiri mabomba ya maji na nadhani yasharekebishwa sasa.....muranga ndo inachangia part kubwa ya maji yanayotumika Nairobi na gatuzi hilo limeadhirika sana na landslides

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Naona unamjenga kijana, maana hajui hata anaandika nini! [emoji3]
 
achana na mwezi mchanga huo,dishi limeyumba.


hata asipokula kwa siku anaamini magu kasababisha.
 

Fact ni pale pale

GDP yao imetuzunguka mara mbili

Hatujui kujenga GDP,wao wanajua,wanajua kuzalisha

Sisi hatujui,on top of that eti tunaringa ku-export eti “kuikomoa” Kenya,thats nonsense aisee!

Utajengaje GDP bila ku export na kuzalisha kwa msuli?

Tutazidi kufeli tusipogeuka real cut throat capitalists kama Kenyans and beyond

We will never learn
 
Ushabiki sio mzuri juu ya hili janga
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…