Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Kweli wewe ndio wale waliokomaa kuanzia shingoni kuja chini , Kenya izalishe chakula kuliko Tanzania Kisha wauze nje chote harafu waanze kuangaika kutafuta chakula miaka yote hiyo c maneno ya uchizi haya!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutegemei Kenya kuuza mazao,mwaka juzi kama sijakosea,mlileta ujinga,tukauza mahindi kwa shirika la WFP,na solo mwaka litakuwa kubwa sana kwa sababu kuna njaa,pia kuna SADC!TZ has nothing to loose.
BS. Mkulima wa vitunguu Arusha au mkulima wa machungwa Tanga aache soko la uhakika jirani kwa kutegemea SADC? Think!
 
Wewe ni mpumbavu sipaswi kukujibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wacwac atakua bado atakua analishwa na cku akifanya kosa ananyinwa chakula na kulala na njaa huyu, maana hana chochote anachokijua mpaka huruma
Hakuna foreign currency Kenya acha umbulula eti foreign exchange.

Hivi pesa ya Kenya tunaeza ichukua Marekani kuinunulia Boeing? Hujui hata maana ya foreign currency fundamentals

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The issue of CORONA testing is being exercised by all our neighbors; we need to send drivers who have tested NEGATIVE otherwise we have to feed PIGS with our agricultural produce.
 
Unatia aibu saaana!!!
 
Wewe kwanza Nchi yako tu huifahamu
Labda Mzanzibar kuijua Bara ngumu sana
Hivi Nani alikudanganya chakula kingi cha Tanzania kinaingia kenya!
 
Jamaa hata simu hapokei, shauri yenu akigoma kupeleka chakula mtaingia gharama kubwa kufuta huko kwingine na janga hili nchi nyingi zinaangalia uzalishaji wa chakula cha ndani kwanza.
 
Jamaa anachoandika Kama alikufa miaka mingi kwahiyo kafufuka eti America na Asia eti wachukue soka la Kenya wakati kila mwaka wanawasaidia chakula Kama mchele na unga bureee . Hajielewi kweli huyu. Alishawahi sikia Tanzania imepewa msaada wa unga na China
Unatia aibu saaana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutegemei Kenya kuuza mazao,mwaka juzi kama sijakosea,mlileta ujinga,tukauza mahindi kwa shirika la WFP,na solo mwaka litakuwa kubwa sana kwa sababu kuna njaa,pia kuna SADC!TZ has nothing to loose.
Nchi gani ya SADC unauza chakula expensive kuliko Kenya!!
Unacompare kuuza food nchi kama Zimbabwe sijui Mozambique na KENYA,
Wakulima wenu wanaprefer Kenya juu ya high prices,
PERIOD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…