Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Kama ndani bado vinahitajika kwa nini watu wanaingia gharama zaidi kupeleka nje?
 
Nchi gani ya SADC unauza chakula expensive kuliko Kenya!!
Unacompare kuuza food nchi kama Zimbabwe sijui Mozambique na KENYA,
Wakulima wenu wanaprefer Kenya juu ya high prices,
PERIOD.
Onyesha bei za Kenya ulinganishe na Zimbabwe, Msumbiji na WFP, Kenya ndio wananunua kwa bei ndogo kuliko nchi zote kati ya hizo, kama unabisha, weka ushahidi tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ama ni mtoto au ni mpumbavu. Baada ya EAC ya mwanzo kuvunjika mpaka wa Kenya na Tanzania ulifungwa kwa zaidi ya miaka mitatu, Wakenya waliishije?
Zuka hilo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukimuuliza mkulima bongo km rac atachagua kuuza wapi bidhaa zake kw asilimia kubwa watasema Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaa taarifa yako nchi za wenzetu wengi hawamjui unga wa ugali . Kule wanavyakula tofauti ungekuepo umewahi know safiri nchi za nje ungeleta mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zuka hilo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ukimuuliza mkulima bongo km rac atachagua kuuza wapi bidhaa zake kw asilimia kubwa watasema kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoa yenye kuzalisha chakula Tanzania ipo kusini mwa Tanzania, mazao yao yote wanauzia kusini mwa Afrika, Kenya sio miongoni mwa soko muhimu kwa chakula cha Tanzania ukilinganisha na DRC, Zambia, Malawi na Zimbabwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini hamkuwa mnawauzia WFP kiwango chote siku zote kabla mpaka haujafungwa?
Kwa nini mmekuwa mnawauzia Wakenya badala ya WFP?
WFP ndio wanunuzi wakubwa na wenye bei nzuri, lakini nchi zote zinazoizunguka Tanzania ni wanunuzi wakubwa wa mazao yetu, sio Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ama ni mtoto au ni mpumbavu. Baada ya EAC ya mwanzo kuvunjika mpaka wa Kenya na Tanzania ulifungwa kwa zaidi ya miaka mitatu, Wakenya waliishije?
Boda kati ya Kenya na Tz ilifungwa kwa miaka saba, na uchumi wa Kenya haukutikisika. Kumbuka waganda ndio wanauza bidhaa nyingi Kenya, zaidi ya watz.
 
Kwa nini hamkuwa mnawauzia WFP kiwango chote siku zote kabla mpaka haujafungwa?
Kwa nini mmekuwa mnawauzia Wakenya badala ya WFP?
WFP ndio wanunuzi wakubwa na wenye bei nzuri, lakini nchi zote zinazoizunguka Tanzania ni wanunuzi wakubwa wa mazao yetu, sio Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa sisi tukibaki na mavyakula yetu uchumi ndiyo utapanda? Yatakuozea na kuingia hasara tu
 
Ipo kusini na bado wakulima wanaleta vyakula kenya...
Kwanza siku hyo sokoni yakija malori ya tanzania na kenya kw pamoja jamaa huaga wanakimbilia ya kenya..

Uliza mtu wa mombasa akupe utofauti wa tomato, machungwa, vitunguu saumu viazi, tomato nk. Vya kenya na tanzania bora ni gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boda kati ya Kenya na Tz ilifungwa kwa miaka saba, na uchumi wa Kenya haukutikisika. Kumbuka waganda ndio wanauza bidhaa nyingi Kenya, zaidi ya watz.
Haya mmeshapewa masharti sasa uamuzi uko kwenu kusuka ama kunyoa! Na sisi watz hatubembelezi
 
Kwa nini hamkuwa mnawauzia WFP kiwango chote siku zote kabla mpaka haujafungwa?
Kwa nini mmekuwa mnawauzia Wakenya badala ya WFP?
Kwasababu hujui dunia inavyokwenda, chakula cha Tanzania kwa muda mrefu kimekua kikiuzwa zaidi DRC na nchi za kusini mwa Africa, WFP walikua hawanunua kwa sababu hatukua na kiwango cha kutosha wanachohitaji, kumbuka Mara kwa Mara Serikali yetu ilikua ikipiga marufuku uuzaji wa chakula nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa chakula, hicho chakula ulichokua unakiona kikienda Kenya, ni sehemu ndogo sana ya kinachokwenda kusini mwa Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…