Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Sio huenda, Tanzania ndio itakayoumia zaidi. Hizi mburula za lumumba zinadhani Kenya hawana alternative.
Unaona wakenya mwenyewe wamenyamaza kimya hata like hawa thubutu kutoa kwa wajinga kama wewe maana wanajua moto wa tz kufunga mpaka na kuzuia chakula Kenya lazima jubilii ipigwe chini.

Send by APOLO 1
 
Sijakataa kuhusu Uganda na Kenya kuwa na "volume of trade kubwa", sababu za kuwa Uganda na Kenya mnafanya biashara kubwa ni kwasababu hamna nchi zingine mnazofanya nazo biashara.

Tanzania hatutegemei sana soko la East Africa sana, zaidi tunategemea SADC ndio sababu volume of trade ni ndogo East Africa.

Ninachokataa ni kusema 70% ya mahindi inatoka Uganda. Kwa mwaka 2018 Kenya haijanunua mahindi toka Uganda kwa sababu hata Uganda ilikua na upungufu wa chakula. Sasa hivi Tanzania ndio inaongoza kwa uzalishaji chakula katika ukanda huu, sio Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huna takwimu baki kimya tu. Chochote ambacho nakueleza ninaweza nikadhibitisha. 70% ya mahindi ambayo Kenya inaagiza kutoka nje yanatoka Uganda, upende usipende. >>>Ten Kenya’s largest trading partners Alafu utasemaje Kenya hatufanyi biashara na nchi zingine? Unaumwa wewe, kwenye hiyo link utaona pia nchi kumi top ambazo zinafanya biashara kwa wingi na Kenya, Tz haipo.
 
Asante mkuu. Kama hajaelewa basi tena.
 
Unaona wakenya mwenyewe wamenyamaza kimya hata like hawa thubutu kutoa kwa wajinga kama wewe maana wanajua moto wa tz kufunga mpaka na kuzuia chakula Kenya lazima jubilii ipigwe chini.

Send by APOLO 1

Wakenya hawakujibu kwa kuwa hawaoni sababu ya kujibizana na mijitu mipumbavu aina yako.

Kuthibitishia kwamba WEWE na mataga wenzako wote ni wapumbavu msiojua kinachoendelea dunia hii (sawa tu na mungu wenu jiwe) ni kuwa Serikali ya Kenya imefunga mpaka wake na Tanzania kwa siku 30 kuanzia usiku wa leo.

Mnalo la kusema?
 
Teargass alafu uzi wenyewe huu ulikuwa wa kinafik tu. Mleta mada alijaribu kuwahadaa wasioelewa kiingereza kwamba wana mpango wa kuzuia bidhaa. Wakati huyo DC wao wa Longido alikuwa anatishia kwamba watakuwa wana'dump', yaani wanaacha, mizigo yao Namanga(upande wa Tz). [emoji1] "Tanzania has threatened to instruct
their drivers to start dumping goods destined for Kenya at the Namanga border. The regime in Dar es Salaam says if
their drivers will not be allowed entry to Kenya following the covid-19 testing at the Namanga border, they will bag
the goods at the border point and head back."
Haya basi joto la jiwe, Boda sasa imefungwa rasmi, sijui utawaambia wanakwaya nini.
 

Ukimuona tena kwenye uzi naomba unitag mkuu.
 




MY TAKE
While Kenya restrict movement at Namanga, Uganda does the same to Kunyaland at Malaba and Busia borders.
 
Huyu jamaa kenyata swahiba sana na trump ikumbukwe hilo. Pia hana jins lazima afate maelekezo ya swahiba wake trump bila kujua fimbo ya mbali haiui nyoka.mwezi mmoja umepita trump alimpa kenyata bilion 700 zaku brainwash akili ya kenyata kufata matakwa yake ya kufanya lockdown. hvo mm sishangai.

WASWAHILI TUNASEMAGA KIRAGO CHA KUAZIMA AKISTIRI.hivo tafuta chako.kwaio kenyata angetakiwa kufanya jitihada zake binafs za kuokoa uchumi wake na rai wake katika ugonjwa. Kwa maana hiyo virus wa covid 19 wasipopungua atafunga nchi milele? the higher wanavopambana kulockdwn ndio the higher wanavo inject fear kwa watu kuwa maisha sio mapesi bila corona.sie tumesha elezwa na mkuu jilinde fanya kazi piga nyungu maisha yaendelee corona ipo tu
 
kipi bora ufe kwa njaa au uumie kiuchumi
 
Wakulima wetu hawategemei soko la Kenya pekee, tunatrade na sadc zaidi ya eac. Ug wanafanya zaidi na nyinyi sababu Kenya ndio jirani yake pekee mwenye soko kubwa la uhakika.

UG is locked, flow ya vitu itapungua, sasa leteni ujinga, mtakufa na njaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, why "accept cargo vehicles?", kama kweli uchumi wa Kenya hautegemei Tanzania, fungeni huo mpaka msiruhusu hata Cargo vehicles kutoka Tanzania. Point ni kwamba Kenya haiwezi kusurvive bila bidhaa za Chakula na malighafi toka Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…