Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Pia Tanzania ina 945,087 km² na kenya ina 580.367k km² kama nusu yetu ya ardhi ni mashamba na ndo tunamzalishia yeye na rai wake waweze kula pamoja na sisi.hi tofauti ni kubwa sana hana namna lazima afungue tu mapema iwezekanavo.japokuwa anaweza akaagiza chakula kwa ndege kama tulivockia kaagiza mahindi mexico sasa cjui ilikuwa kweli au porojo tuhttps://www.google.com/search?clien...hUKEwiHyr_SvLjpAhUSYcAKHS-eDSMQxA0wBHoECA8QBg
 
Bottas, Ufungaji gani huo unaoruhusu chakula?, ninyi njaa njaa sana, hamuwezi kuishi bila chakula cha Tanzania, kama kweli ninyi ni wanaume katazeni na "Cargo vehicles" tuone kama mtaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hawezi funga cargos kwa sababu ya magari yanayokwenda Rwanda na Uganda si magari yote ya mizigo yanaishia Kenya mengi yanaenda Uganda na Rwanda pia.
 
Kenya inefunga mpaka wake na korona, habari ndio hiyo!
 
Nadhani hawezi funga cargos kwa sababu ya magari yanayokwenda Rwanda na Uganda si magari yote ya mizigo yanaishia Kenya mengi yanaenda Uganda na Rwanda pia.
Hakuna Gari linalokwenda Rwanda na Uganda toka Tanzania yanayopita katika mpaka wa Kenya na Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What do you expect from that guy who can't do simple conversion maths.
 
We allow cargo vehicles with conditions. Only negative drivers will pass while positive ones tutarudisha Tanzania. Remember today we turned 78 drivers. You wanted the game, Kenya will play it very well.
 
joto la jiwe,

We hayawani umeona Kenya kashagunga mipaka na Tanzania sasa tuone mjanja. Wewe unawaza chakula unafikiri Tanzania tuu ndio inasupply chakula Dunia nzima . Wewe pimbi kweli. Na imewarudisha madereva 75 wa Tanzania wenye korona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pimbi wewe, sina sababu za kukujibu, poyoyo mkubwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment yako imeonesha jinsi ulivyo na roho mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeambiwa ulete takwimu acha kubisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…