Corona: Tanzania kuzuia chakula na bidhaa zingine kupelekwa Kenya

Kenya wanazalisha chakula zaidi yetu?,

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaona ulivyo myopic?

Bidhaa za viwandani zenye monetary value zaidi ya nafaka unanunua toka Kenya

Kutoka kuumbwa kwa dunia Tanzania ina run trade deficities na Kenya!

Yaani tunatumia hela nyingi kununua bidhaa za viwandani kutoka Kenya kuliko hela tunayojenga kuuza nafaka Kenya!

Yaani ni aibu sisi kua shamba la kujenga raw materials kwa ajili ya Kenya ndio maana tunakua na trade deficities kila uchao!

Kenya is making more than us,sisi ni koloni lao la kupeleka raw materials!

Akili nayotaka hapa ni sisi tuwageuze wao raw materials wetu,cha ajabu upo hapa unatanua domo kuuza nafaka...Nafaka?Jesus Christ...

Sisi ni shamba to Kenya,Kenya sale more valued goods to us,they make more money volumes we will ever make in this trade relation!

Stop this nonsense na akili ya ujima ya kua watwana
 
Alisikika mama wa taifa kutoka Kenya..,...
 
poleni majirani...

20200517_225941.jpg
 
Unaona ulivyo myopic?

Bidhaa za viwandani zenye monetary value zaidi ya nafaka unanunua toka Kenya

Kutoka kuumbwa kwa dunia Tanzania ina run trade deficities na Kenya!

Yaani tunatumia hela nyingi kununua bidhaa za viwandani kutoka Kenya kuliko hela tunayojenga kuuza nafaka Kenya!

Yaani ni aibu sisi kua shamba la kujenga raw materials kwa ajili ya Kenya ndio maana tunakua na trade deficities kila uchao!

Kenya is making more than us,sisi ni koloni lao la kupeleka raw materials!

Akili nayotaka hapa ni sisi tuwageuze wao raw materials wetu,cha ajabu upo hapa unatanua domo kuuza nafaka...Nafaka?Jesus Christ...

Sisi ni shamba to Kenya,Kenya sale more valued goods to us,they make more money volumes we will ever make in this trade relation!

Stop this nonsense na akili ya ujima ya kua watwana
Alafu mnaharibu lugha ya taifa ya Tanzania nyie walevi.
 
joto la jiwe,
Akili za Lumumba shida. Kenya soko la uhakika mazao ya biashara. Mkulima wa Tanzania ndiye mfaidika mkuu. Siyo bure buku saba zinawarusha akili.
Kumbuka tuna viwanda vinahitaji malighafi ya kilimo kwa vile bidhaa kutoka nje zinapungua kutokana na "lockdown".
 
Alafu mnaharibu lugha ya taifa ya Tanzania nyie walevi.

Lugha ya Taifa ipi?

Kiswahili?

Nani kakwambia Kiswahili ni lugha ya Taifa la Tanzania?

Nyerere kakurupuka kaenda kuchukua lugha halali ya Waswahili kaja wadanganyeni ni lugha yenu?

Wewe ndio unajua Kiswahili sana?Weka tokeo lako la O’Level hapa tuone na mimi niweke langu hapa tuone nani alipata A!

Mlevi nyanya yako mzaa mama yako!
 
Alizungumza mama mmoja wakijaluo kutoka Kenya"😂😂😂
 
Unaona ulivyo myopic?

Bidhaa za viwandani zenye monetary value zaidi ya nafaka unanunua toka Kenya

Kutoka kuumbwa kwa dunia Tanzania ina run trade deficities na Kenya!

Yaani tunatumia hela nyingi kununua bidhaa za viwandani kutoka Kenya kuliko hela tunayojenga kuuza nafaka Kenya!

Yaani ni aibu sisi kua shamba la kujenga raw materials kwa ajili ya Kenya ndio maana tunakua na trade deficities kila uchao!

Kenya is making more than us,sisi ni koloni lao la kupeleka raw materials!

Akili nayotaka hapa ni sisi tuwageuze wao raw materials wetu,cha ajabu upo hapa unatanua domo kuuza nafaka...Nafaka?Jesus Christ...

Sisi ni shamba to Kenya,Kenya sale more valued goods to us,they make more money volumes we will ever make in this trade relation!

Stop this nonsense na akili ya ujima ya kua watwana
Soma hii article kisha umiambie kati ya Kenya na Tanzania nchi gani inayouza na kutengeneza pesa zaidi ya mwenzake?. Bidhaa zipi za kiwandani Kenya inauza Tanzania. Tafadhali chukua muda wa kutosha ujielimishe kwanza kuliko kupiga kelele.
Tanzania trade with Kenya turns into deficit

Mkuu

Unaongelea makala aliyoandika mpumbavu biased kama mimi na wewe?

Buahahahaaaa

Brother tangu kuumbwa kwa dunia Kenya ina out trade Tanzania by far!

Always and always!
 
Back
Top Bottom