Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Unaona ulivyo myopic?
Bidhaa za viwandani zenye monetary value zaidi ya nafaka unanunua toka Kenya
Kutoka kuumbwa kwa dunia Tanzania ina run trade deficities na Kenya!
Yaani tunatumia hela nyingi kununua bidhaa za viwandani kutoka Kenya kuliko hela tunayojenga kuuza nafaka Kenya!
Yaani ni aibu sisi kua shamba la kujenga raw materials kwa ajili ya Kenya ndio maana tunakua na trade deficities kila uchao!
Kenya is making more than us,sisi ni koloni lao la kupeleka raw materials!
Akili nayotaka hapa ni sisi tuwageuze wao raw materials wetu,cha ajabu upo hapa unatanua domo kuuza nafaka...Nafaka?Jesus Christ...
Sisi ni shamba to Kenya,Kenya sale more valued goods to us,they make more money volumes we will ever make in this trade relation!
Stop this nonsense na akili ya ujima ya kua watwana