Corona: Ugonjwa unaoua, uliogeuzwa fursa ya kisiasa Tanzania


Bure? Taifa tajiri tupewe Dawa bure?
 
Bure? Taifa tajiri tupewe Dawa bure?

Hizo ndizo akili bora kabisa za mataga. Dawa tupewe bure. Sisi tununue madege, tujenge chattle, ma SGR, ma Stiggler's Gorge nk.

Hayo ndiyo yaliyo ya muhimu zaidi kuliko maisha ya watu.
 
nadhani hii inawahusu CHADEMA ndio wanatumia Corona kujikuza kisiasa na hili halina ubishi lakini Mungu atawaadhibu tu hamna namna.
 
nadhani hii inawahusu CHADEMA ndio wanatumia Corona kujikuza kisiasa na hili halina ubishi lakini Mungu atawaadhibu tu hamna namna.

Kabisa mkuu. Na huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

CHADEMA ndiyo wameonyesha bila aibu kuwa maaskofu na mapadre katoliki ni wapiga dili tu isipokuwa wao.

CHADEMA ndiyo walioonyesha kuwa kufa ni kufa tu hata kama ni kwa Corona nayo ni halali tu. Ya kwamba halipo jipya hapo.

CHADEMA ndiyo wanaoshinikiza kodi ili wahanga hawa wa Corona wajazane kwenye masoko, ma ferry, magulio nk kutafuta kodi ya kaisari iliyo boreshwa ambayo kaisari mwenyewe halipo hata ndururu.

CHADEMA ndiyo wanaopambana kuonyesha serikali na hata jiwe hawana wajibu wowote kwa wahanga wa janga hawa. Kuwa kama ni kufa wahanga na wafe tu.

CHADEMA ndiyo walio poka kilio cha chanjo kwa ajili ya wale walio hatarini na kueneza upotoshaji usiokuwa na mbele wala nyuma.

CHADEMA hao hao ndiyo wanaoendelea na wanayoita utenzi wa miradi ya maendeleo huku watu wakifa.

Kwa hakika CHADEMA hawa hawatufai kabisa. Wanaturudisha sana nyuma!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Corona ilivyokaa tuu imeundwa ki fursa, ni chaguo tuu la kuwa mnufaika au victim,kuwanusuru wananchi wako au kuwatoa sadaka kwa maslai fulani,wewe tuu?
 
Mkuu nenda kachanjwe hujakatazwa. Ila watanzania tulio wengi tupo pamoja na Rais Magufuli.
Tena mmeboreshewa na vipimo vya corona unaenda kinyumenyume af wanaingiza ka paip ka inch 2.
Natumaini utainjoy Sana.
 

Kati ya South Africa na Libya ipi ipo juu kiuchumi? Kwanini SA imewekwa kwenye label ila Libya haipo?
 
[emoji47][emoji47][emoji47]
Mkuu nenda kachanjwe hujakatazwa. Ila watanzania tulio wengi tupo pamoja na Rais Magufuli.
Tena mmeboreshewa na vipimo vya corona unaenda kinyumenyume af wanaingiza ka paip ka inch 2.
Natumaini utainjoy Sana.
 
Umesema kitu cha ukweli.
Huu mradi wa chanjo ya Bill Gattes ni mpango wa Freemason wakutaka kupunguza watu barani Africa.
 
We we ambae haujanywa kimpumu rekebisha alipokosea,
Vinginevyo tutakuona ulipokuwa unaandika labda na wewe wanzuki ilikuwa kichwani,
Tujenge mazoea ya kuelimishana siyo kutukanana,tatizo tunaishi kwa kufuata na kuamini propaganda hadi tumepoteza utu wetu km watanzania
 
Mkuu nenda kachanjwe hujakatazwa. Ila watanzania tulio wengi tupo pamoja na Rais Magufuli.
Tena mmeboreshewa na vipimo vya corona unaenda kinyumenyume af wanaingiza ka paip ka inch 2.
Natumaini utainjoy Sana.

Mawazo duni kabisa kama kawaida tokea kwa ile misukule ya kile chama.

Kwani tezi dume linapimwa je? Kwani waliopimwa tezi dume wakagundulika nalo hata wakatibiwa na leo wana dunda mmewazidi nini?😂😂😂😂😂

Ujinga kweli mzigo.

Kwani mnajua hii chanjo inawahusu hata nani kweli? Kwanini mnapoka mada hii ya chanjo kama nyie haiwahusu kwa kujua au hata kutokujua kwenu? Kweli mmepata fursa ya siasa:


Au nyie ni lile kabila la kanda maalum ambalo wazee ni wa kuwindwa kuliko mbu?
 
View attachment 1689921
Kati ya South Africa na Libya ipi ipo juu kiuchumi? Kwanini SA imewekwa kwenye label ila Libya haipo?

Wewe nani aliyekwambia kuwa ni kiwango cha uchumi pekee tu ndiyo kilichotumika kwenye hiyo allocation?

Au ulikuwapo kwenye hiyo grouping na sasa ndiyo unashangaa kwa nini fulani kaonewa na sasa kwa nini hayumo?

Hoja yako hasa ni nini?

Unajua takwimu za huu ugonjwa Libya na South Africa zinafanana au kutofautiana vipi?

Unajua hali zote zilizokuwa considered kufikia uamuzi huo?

Au ni kuota OTA tu ndoto za mchana kuhalalisha zile fursa zetu pendwa za kisiasa?

Ukweli mchungu huna hoja jombi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wewe si ndio umesema kwamba label hiyo imetumika vibaya bila sisi kujua kwamba hizo ni nchi ambazo zimepewa misaada maalum, sasa misaada huwa inatolewa kwa vigezo vipi, universally, vya kiuchumi au skin color?
 
Wewe si ndio umesema kwamba label hiyo imetumika vibaya bila sisi kujua kwamba hizo ni nchi ambazo zimepewa misaada maalum, sasa misaada huwa inatolewa kwa vigezo vipi, universally, vya kiuchumi au skin color?

Kumbe huna lolote jombi. Makelele tu. Nilichoandika ni timamu hiki hapa:



Kuijua position yako: "kwenye hisani yao hawa mabwana ambayo kimsingi hufuzu hata kuwa na madai yoyote, ukweli mchungu ni huu hapa:"



Miye si mlibiya na sina interest yoyote na huko Libya.

Kama una interest waulize mwenyewe.

Wamekutuma kuwagombelezea?

Au ni zile zile fursa zetu za siasa?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ufadhili na msaada una tofauti gani? Kusema imegeuzwa kuwa agenda ya upotoshaji ina tofauti gani na kusema inatumika vibaya? Sasa huo ufadhili unaozungumzia kama unatolewa kwa kigezo cha sisi kuwa hatujawahi kugundua chanjo yetu, niambie Libya, Tunisia nk. ambao hawapo kwenye hiyo List, wamegundua chanjo gani ya Corona au otherwise?
 

Mbona umechanganya changanya mambo? Kiswahili ni lugha. Maneno yake yanataka mpangilio timamu kuweka wazi hoja au mantiki inayoongelewa.

Bandiko langu liko wazi:

1. Aliyefanya agenda ya upotoshaji ni nani na vipi nimeeleza kwenye mada. Kwa mujibu kwa maneno yako, unajaribu kutumia maneno na hoja yangu kuhusu "agenda ya upotoshaji" kuniuliza mimi kwa nini mtengeneza dawa anafanya agenda ya upotoshaji?

Umechanganya mataga na mtengeneza chanjo. Unachoniuliza kuwa nimetamka sija kitamka hivyo swali lako ni irrelevant. Mtoshaji ni mataga si mtengeneza dawa. Mada uko wazi.

2. Ufadhili na msaada ni maneno ya Kiswahili yenye maana tofauti zilizo wazi. Kujua kufanana au tofauti zake sina hakika inahusiana vipi na hoja zangu ambazo ziko wazi. Kukusaidia tu kama huyaelewi pata kamusi, zipo nyingi tu kwa hisani ya bakita.

3. Wapi nilipoongelea vigezo vyote vilivyo tumika kwenye allocation ya chanjo zaidi ya kukumbusha kuwa mwenye chake ana reserve right of allocation. Si utengeneze chako uwe na haki hiyo?

Unataka ku claim supremacy kwenye mali za wenzio? Claim supremacy kwenye nyungu na hakuna mwuungwana atakaye kulaumu.

Acheni upotoshaji na kujifanya kujikita kwenye kutafuta kwa tochi vihoja vyepesi vyepesi vya upotoshaji visivyo kuwa na mashiko.

Wewe ni mlibiya au mtunisia? Pilipili hizo zinakuwasha je?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 


Hao ‘kina sisi’ ambao ndio tumeandikwa kwenye hiyo ‘label’ hapo juu, kwamba ndio tunapata hiyo chanjo kama ‘ufadhili’, tumechaguliwa kupewa huo ufadhili kwa ‘Criteria’ ipi? Kwamba ni Waafrika? Kwamba ni masikini? Au ni kigezo kipi kiasi nchi zingine ndani ya Afrika hii hii hawajawekwa kwenye ufadhili?
 
Mada kama hizi tulizi miss sana wakati ule wa kampeni maana hazikuwa kipaumbele wakati huo,kipindi hicho ilionekana kampeni ni muhimu kuliko chochote kwamba ni heri tuambukizane corona ila kampeni ziendelee.
 

Kawaulize wenye chanjo au WHO.

Unaniuliza mimi? Criteria za kugawa nyungu kamwulize Jaffo.


Hahaaahaa ha haha!

So much out of point, out of context and totally irrelevant questions, asked to a totally wrong individual.

Ni wazi kuwa nia yako ni kujaribu kuzikimbia hoja za kwenye uzi huu. Ni ngumu kuzimeza. Si moja wala mbili. Kwani umewaona mataga kwenye uzi huu?

Wenzio wanapita kimya kimya.

Criteria za kugawa dawa za corona? Tena unaniuliza mimi? Nimekwambia miye nimetengeneza dawa hiyo au miye ni mfadhili wake?

Kama hujui hata wa kumwuliza hayo utapajua hata wapi pa kuuliza? No wonder umeshupalia mambo ya criteria kwenye uzi usiohusika.

Soma subject usome content kujiridhisha uko kwenye uzi unaohusika na unachosema..

Huu si uzi wa criteria za kugawa dawa Corona. Kama lengo lako ni criteria za kugawa dawa anzisha uzi wako kwani binafsi wala criteria hizo sizihitaji.

Umeng'ang'ania criteria ya kugawa dawa kwani umeitengeneza wewe? Weka criteria kwenye nyungu uone kama pana hata atakayekuja kukuhoji.

Au wewe ni baina ya wale wanaojifanya ni wakatoliki kuliko papa?

Au wewe ndiyo wale mnaoipiga dongo na mnataka kuweka allocation kwenye dawa msiyotengeneza?

Unachotaka hasa ni nini? Kmaana haueleweki.

Lolote usiloliafiki kuhusu hii dawa inakuhusu wewe vipi? Huenda haumo kwenye walioko hatarini siyo? Kama ni hivyo nini kinachokuwasha washa basi?


Au ni lile kabila letu pendwa la kanda maalum?

Au ni kujaribu kutafuta uhalali wa serikali kutokuwajibika kwetu sisi walipa kodi?

Usisahau tunajua kuwa kodi hamlipi:


Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wewe si ndio umesema kwamba hiyo label inafanyiwa upotoshaji kwa malengo ya kisiasa? Sasa utasemaje hili swali sio mahala pake? Nami nikataka kujua kwamba ni Criteria gani basi walitumia ili kuallocate hiyo chanjo kwa nchi za Afrika zenye watu wenye ngozi nyeusi tu pekee, ili tuweze kujua kwamba kuikataa hiyo chanjo ni sahihi au ni upotoshaji kama unavyodai. Badala yake unataka niwaulize WHO walati wewe ndio tunajadili na ndie uliyetoa hoja, kama hujui basi funga mdomo na wacha serikali iendelee na msimamo wake maana huna hoja unatafuta huruma ya WHO. Kuhusu nyungu hazigawiwi kwenye viboksi na mtu yeyote anaweza fanya akitaka.

Angalizo:
Jinsi unavyoandika maelezo marefu halafu yanakuwa hayana hoja ndani yake, inatia shaka sana juu ya utimamu wa akili yako, andika short, clear and to the point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…