Corona: Ugonjwa unaoua, uliogeuzwa fursa ya kisiasa Tanzania

Corona: Ugonjwa unaoua, uliogeuzwa fursa ya kisiasa Tanzania

We we ambae haujanywa kimpumu rekebisha alipokosea,
Vinginevyo tutakuona ulipokuwa unaandika labda na wewe wanzuki ilikuwa kichwani,
Tujenge mazoea ya kuelimishana siyo kutukanana,tatizo tunaishi kwa kufuata na kuamini propaganda hadi tumepoteza utu wetu km watanzania
Sasa wewe nawe ndio umeandika nini?kueleweshana kupi kama mtua ameleta mada isiyoeleweka,wacha kulea ujinga naona nawe ushakunywa wanzuki
 
ASHAKUM SI MATUSI.

Umeandika kwa hisia sana ila bado umeandika ujinga, na unatumia hisia zako ili ueleweke katika upuuzi wako.

NB: mimi naamini hao mabeberu wangekua wana nia ya kutusaidia wangeleta hiyo chanjo bure, maana here we are talking about the survival of the human race!, hiyo chanjo nyi mnaisikia tu lakini ni very expensive! refere SOUTH AFRICA,.

Pia kisa tulipokea chanjo zingine haimaanishi ndo tupokee zote, nadhani katika huu ugonjwa(corona) umekaa kisiasa na maslahi sana ndo maana hata raisi amechukua maamuzi magumu katika matamko aliyoyatoa(sio kazi rahisi kua raisi) .

MUAMAR GADDAFI AMEWAHI KUYATABIRI HAYA YOTE, kipindi cha uhai wake! kua yatakuja magonjwa ya virusi na tutauziwa chanjo zaidi na zaidi!

USISAHAU KUNAWA MIKONO KWA MAJI TIRIRIKA, KUVAA BARAKOA NA KUJITAKASA MIKONO YAKO KWA SANITAIZA, pia fanya mazoezi na kula matunda kuboresha kinga ya mwili, Huku ukiendelea kuchapa kazi kukuza kipato chako kwa ajili ya wanao na taifa kiujumla!

kumbuka:- Afya yako ni jukumu lako namba moja, usiibebeshe serikali kwa asilimia kubwa!.
Rubbish [emoji706] [emoji706]
 
Sasa wewe nawe ndio umeandika nini?kueleweshana kupi kama mtua ameleta mada isiyoeleweka,wacha kulea ujinga naona nawe ushakunywa wanzuki

Ilitegemewa vilivyo kuwa mijamaa ya chama fulani itakosa hoja. Pia kukosa amani kabisa. Hivyo mingine itachagua kupotea na mingine itachagua kujibaraguza na kujishebedua ikidai kuwa mada haieleweki.

Mmeeleweka mkuu kwa utambulisho wenu.

Hawajambo Lumumba? Pelekeni salamu hamna pa kukificha!
 
Haya, kumbe unajua tena? Si ulisema wewe sio WHO, si Mfadhili na si mtengeneza dawa hivyo nisikuulize wewe nikawaulize hao? Haya basi, kama unajua tueleze sasa, hizo sababu ambazo umesema hazikosekani, kwamba zipo, ni zipi zilizopelekea hiyo dawa ikaelekezwa ufadhili kwa nchi za Afrika zenye watu wa ngozi nyeusi kama inavyoonekana kwenye hiyo label hapo chini?
Kama ni uchumi, vipi South Africa iwepo na Libya ikosekane?
Kama ni hali ya ugonjwa, hali ni mbaya kwa waAfrika wenye ngozi nyeusi pekee?
View attachment 1692768

Angalizo tena: Kuandika maelezo marefu yasiyo na hoja ndani yake, inatia sana shaka utimamu wa akili yako.

Angalizo: Inafahamika kuwa uvivu wa kusoma ni tabia ya ile mijamaa ya kile chama.

Husomi halafu unauliza yale yale yaliyokwisha jibiwa. Bila aibu unadhani una akili timamu?

IMG_20210202_172735_525.jpg

Kuna hata haja ya kukuandikia tena kama u zezeta wa kushindwa kusoma kiasi hicho?

Aaaah wapi!

Kalaga baho wenzio tunayeya na hivi sasa tuko huku:

Angalizo: Inafahamika kuwa uvivu wa kusoma ni tabia ya ile mijamaa ya kile chama.

Husomi halafu unauliza yale yale yaliyokwisha jibiwa. Bila aibu unadhani una akili timamu?

View attachment 1692772

Kuna hata haja ya kukuandikia tena kama u zezeta wa kushindwa kusoma kiasi hicho?

Aaaah wapi!

Kalaga baho wenzio tunayeya na hivi sasa tuko huku:

Na ndio nikakuuliza hapo, Kama ni uchumi, iweje South Africa ipo na Libya haipo? Kama ni hali ya maambukizi, Inamaana ni nchi za Afrika zenye watu wenye ngozi nyeusi pekee ndio zina maambukizi makubwa?

4AD878C6-D145-4991-9D81-EA45DC2B6DF8.jpeg

Note: Ahsante kwa kuacha kuandika maelezo marefu yasiyo na hoja ndani yake.
 
Na ndio nikakuuliza hapo, Kama ni uchumi, iweje South Africa ipo na Libya haipo? Kama ni hali ya maambukizi, Inamaana ni nchi za Afrika zenye watu wenye ngozi nyeusi pekee ndio zina maambukizi makubwa?

Jibu lake hulioni hapo chini? Neno "zikiwamo" unajua maana yake? Neno "zote" unajua maana yake?

IMG_20210202_172735_525.jpg

Kama huyaoni hayo ipo haja ya kukuambia lolote wewe?

Au ni kile kimpumu unachotumia siku zote ndiyo kinaendelea kukukamata?

Note: Ahsante kwa kusoma yaliyoandikwa ili kuacha kushupaa kuuliza maswali yale yale (yasiyokuwa na hoja) yaliyokwisha kujibiwa.
 
Afya yako ni jukumu lako namba moja, hizo kodi ni za kutumika katika usalama wako na kurahisisha maisha kiujumla, aghalabu miundombinu, huduma nafuu za kimaisha kama umeme, afya(hospitali) n.k japo bado hawajafanikiwa kwa asilimia mia ila nina imani mambo yatakuja kua mazuri huko mbeleni haijalishi ni nani atakaekua madarakani!

Huwezi kuacha kulinda afya yako kisa ukijua kua serikali itakuja kukulindia na kukutibu!.
Hakika wewe ni MZUSHI FLANI

una imani mambo yatakuwa mazuri (kusadikika) akija rais mwingine na vipaumbele vingine imani yako itaendelea?

Hayo anayofanya ndo makubaliano(maamzi ya bunge kama chombo cha wananchi) yake (rais) na watanzania au ni vipaumbele vyake tu?
 
Mabibi na mabwana tumwogope mola aliyetuumba sisi na wote wanaoitwa binadamu. Misahafu ya kikristo inatambua:

"Kumpenda jirani yako kama nafsi yako."

kuwa ndiyo amri iliyo kuu.

Hivi tutajibu nini Akhera sisi kwa udhalimu tunaowatendea wengine?

Leo tumefikia mahali pa kutumia nguvu kuhalalisha vifo vya wengine hata kama vinatokana na ugonjwa huu. Kutumia ulaghai kuhakikisha kujivua uwajibikaji wowote kwa wahanga hata kama majukumu yetu ya kwanza kabisa yalikuwa ni kuwahami wengine na dharura kama hizi.

Leo hii pana makada wa vyama fulani wanataka kutuaminisha kuwa eti wao ndiyo walio waumini wazuri zaidi kuliko hata viongozi wa madhehebu waliko wao kiimani.

Itamwingia vipi akilini mtu awaye yote ya kuwa yupo mtu angependa kutuaminisha ya kuwa yeye ni mkatoloki zaidi ya mapadre, maparoko, maaskofu na kuliko hata Papa huko Roman kwenyewe?

Jamani tuna mafikira ya kuwa watanzania watakuwa ni majuha kiasi hicho kweli?

Leo hii kuna makada wanataka kujifanya ni wa maana mno kuliko hata kina Bill Gates. Wakijishasha na vi propaganda uchwara visivyo na mashiko kuwa wao ni bora zaidi. Kwa lipi hilo jema ambalo majuha hawa waliloifanyia jamii ipi?

Ni vizuri makada uchwara hawa wakajua kina Bill Gates wameifanyia mema sana dunia hii na katu hata 0.1% yake wao hawataweza.

Jitihada za kina Gates kuisukuma mbele dunia hii kiteknologia yahitaji zezeta kutokuzifahamu.

Jitihada za kina Gates kupigana na maradhi ambayo hata kwao yalikuwa wala si issue; duniani kote, hazina kipimo.

Hivi makada hawa ambao hata kodi tu hapa nyumbani wengi wao hawalipi au zilizostahiki hawalipi, wanadhani nani aliyeelimika hata kidogo tu anaweza kuununua ulaghai uchwara wao huu?

Label za Chanjo za corona zilizoelekezwa Africa kwa kutambua ufadhili uliomo ili kutuwezesha na kina sisi kutufikia, eti imekuwa nayo ni agenda yao nyingine ya upotoshaji.

Hivi mbona umeme wa REA ni mahsusi vijijini kwa gharama za kuunganishwa na hata tarrifs?

Makada hawa wanataka leo kutuamimisha kuwa Hakuna usawa kwenye chanjo hii. Vinginevyo eti basi sisi tupewe zenye label ya Ulaya na Marekani na zile zenye ya Africa iende huko! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!

Ikumbukwe makada hawa na kina sisi tukiwamo wala hatuna mchango wowote katika utengezwaji na hata upatikanaji wa chanjo hiyo. Si kwa utaalamu wala kwa mchango wowote. Yaani ni mitoto mikaidi tu.

Yaani ni sawa na wale wajuaji wa vijijini kuukataa umeme wa REA kigharama na ki-tariff. Watake ule wa mjini na huu wa REA uende huko mijini. Ebooo! Hii ni akili au ni yale mananihii?

Haya si ndiyo maajabu ya Mussa mwenyewe basi?

Leo mataga wanadai mh. Rais kaeleweka, kuwa corona ipo ila tuchukue tahadhari. Jambo la kheri kabisa. Tuvae barakoa, tunawe na maji tiririka tuepuke misongamano. Wazee wabakie ndani:

Kwamba ghafla Magufuli si m-bia wa afya zetu! Tumwogopeni mola enyi kina mzee mwanakijiji. Kuweni japo hata na aibu kidogo hata kama utu nao hamna.

Wana thubutu kusema ukitemgemea Magufuli kuhusu huu ugonjwa, wafa na itakuwa imekula kwako na wapendwa wako.

Cha kujiuliza huyu Magufuli hana wajibu wowote kwenye hili?

Hao wanaoepuka misongamano, uchumi wao unakuwa je ukizingatia kodi zinaongezwa viwango na hata kwa wigo kila uchao?

Vipi kuhusu miradi ya serikali? Hiyo iko pale pale? Inaendelea tu?

Hivi, kweli tunauguliwa katika familia. Utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwamo kama ujenzi wa nyumba mpya unaendelea tu? Aaaah Wapi!

Au hata je, serikali inaitambua dharura hii na athari zake kwetu?

Haya yakiendelea, pia wakijifanya kuwa ni wasemaji wakuu wa kuihusu hii chanjo, hali wao labda kwa kujua au kutojua si sehemu ya wanaoihitaji chanjo hii kwa sasa:

Ninawasilisha.
Leo hii kuna makada wanataka kujifanya ni wa maana mno kuliko hata kina Bill Gates. Wakijishasha na vi propaganda uchwara visivyo na mashiko kuwa wao ni bora zaidi. Kwa lipi hilo jema ambalo majuha hawa waliloifanyia jamii ipi?
 
Leo hii kuna makada wanataka kujifanya ni wa maana mno kuliko hata kina Bill Gates. Wakijishasha na vi propaganda uchwara visivyo na mashiko kuwa wao ni bora zaidi. Kwa lipi hilo jema ambalo majuha hawa waliloifanyia jamii ipi?

Waliyaona waliosema: "stajaabu ya Mussa."

Wa maana kwa lipi moja?
 
Hakika wewe ni MZUSHI FLANI

una imani mambo yatakuwa mazuri (kusadikika) akija rais mwingine na vipaumbele vingine imani yako itaendelea?

Hayo anayofanya ndo makubaliano(maamzi ya bunge kama chombo cha wananchi) yake (rais) na watanzania au ni vipaumbele vyake tu?

Hizo ni jitihada za kijinga kuiondoa serikali kwenye kuwajibika na majanga. Yale yale ya tetemeko la Kagera.

Serikali za hivi zisizo na kuwajibika kwa watu wake ni za nini? Ukweli mchungu ni kuwa serikali za namna hii hakuna mtu anaweza kuzihitaji.
 
Maandiko yako ni makubwa sana..wale vichwa panzi LMB7 wataishia tu kuponda kwakuwa yamewazidi kima pakubwa

Ukweli ni kuwa tunaandika maandiko thabiti yaliyofanyiwa kazi. Tunajua hivyo na wala hatutatetereka.

Hivyo pia wanajua na kwa hakika maandiko yanaandikwa kistaarabu ili kuwabana mataga wote vilivyo popote pale walipo.

Kwa lugha ya mjini ni "ngumu kumeja."

Kama ilivyo kusudiwa wengine wanapita kimya kimya, wengine wana retreat mashimoni kama mapanya, wengine wanajifanya hamnazo kwamba hawaelewi, wengine wanajitahidi kuhamisha magoli, wengine wanakuja na matusi, hasira nk.

Kama hili hapa, hebu lione hili hapa linalohoji criteria zote tokea kwa mtu asiyehusika:

IMG_20210202_172735_525.jpg

Yapo mengi mataga proper. Ninaandaa uzi stahiki wa kuyafichua yote. Ikumbukwe mataga si nguo bali ni damu.

Mengi ndiyo yale yenye kulia sana misibani kumbe ndiyo machawi menyewe.

Cc: francis-da-don, manjagata
 
Jibu lake hulioni hapo chini? Neno "zikiwamo" unajua maana yake? Neno "zote" unajua maana yake?

View attachment 1692789

Kama huyaoni hayo ipo haja ya kukuambia lolote wewe?

Au ni kile kimpumu unachotumia siku zote ndiyo kinaendelea kukukamata?

Note: Ahsante kwa kusoma yaliyoandikwa ili kuacha kushupaa kuuliza maswali yale yale (yasiyokuwa na hoja) yaliyokwisha kujibiwa.
Kwa maana hiyo basi, kumbe hizo ulizozitaja katika orodha ya ‘zikiwamo’ si zile zilizotumika kuchagua nchi za Afrika zenye watu wenye ngozi nyeusi pekee ili kupewa ufadhili, sasa hizo za orodha ya sababu ‘zote’ ambazo ndizo zilizotumika , ni zipi? Kiasi zikatumika kuchagua nchi za Afrika zenye watu wa ngozi nyeusi peke yao? Maana kama ni uchumi tumeshaona zipo nchi zimetajwa kwenye orodha na zina uchumi mkubwa zaidi ya zilizoachwa, kama ni maambukizi, zipo zenye maambukizi zaidi na hazijawekwa kwenye ufadhili, hizo criteria zilizotumika ambazo hujazitaja ‘zote’ ni zipi?

Mfano: Kati ya South Africa na Libya, weka hizo sababu ‘zote’ zilizofanya SouthAfrica ichaguliwe na pia tuone jinsi hizo ‘sababu’ zote zilivyoifanya Libya isichaguliwe kupewa ufadhili; maana tukiangalia sababu za kiuchumi na kiwango cha maambukizi tunaona hata Libya ingefaa pia kuwekwa.., sasa sababu ‘zote’ ni zipi?

C61A525E-AE22-44FB-B1E6-D6A806D4E031.jpeg
 
Kuna ndugu yako yeyote au jirani yako amekufa kwa Corona?
Mduanzi huyo.
Kwanza anatokwa povu utafikili analipwa.

Ameng'ang'ana tujifungie ndani wakati yeye mwenyewe saa hizi yupo kwa mama ntilie anapata chai maharage na chapati tatu.

Kiufupi jamaa anazingua.
 
Ilitegemewa vilivyo kuwa mijamaa ya chama fulani itakosa hoja. Pia kukosa amani kabisa. Hivyo mingine itachagua kupotea na mingine itachagua kujibaraguza na kujishebedua ikidai kuwa mada haieleweki.

Mmeeleweka mkuu kwa utambulisho wenu.

Hawajambo Lumumba? Pelekeni salamu hamna pa kukificha!
Yani we jamaa ni mpuuzi kweli.
Nasikitika baba yako alipata hasara kutoa pesa zake kukusomesha, bora angenywe bia tu, atoke kitambi.
 
Ukweli ni kuwa tunaandika maandiko thabiti yaliyofanyiwa kazi. Tunajua hivyo na wala hatutatetereka.

Hivyo pia wanajua na kwa hakika maandiko yanaandikwa kistaarabu ili kuwabana mataga wote vilivyo popote pale walipo.

Kwa lugha ya mjini ni "ngumu kumeja."

Kama ilivyo kusudiwa wengine wanapita kimya kimya, wengine wana retreat mashimoni kama mapanya, wengine wanajifanya hamnazo kwamba hawaelewi, wengine wanajitahidi kuhamisha magoli, wengine wanakuja na matusi, hasira nk.

Kama hili hapa, hebu lione hili hapa linalohoji criteria zote tokea kwa mtu asiyehusika:

View attachment 1693046

Yapo mengi mataga proper. Ninaandaa uzi stahiki wa kuyafichua yote. Ikumbukwe mataga si nguo bali ni damu.

Mengi ndiyo yale yenye kulia sana misibani kumbe ndiyo machawi menyewe.

Cc: francis-da-don, manjagata

Nimejenga hulka moja ya kutojibizana na wapuuzi
 
Back
Top Bottom