FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
ππππππππ€£π€£ Yaani jamaa linaandika kama kuku aliyekatwa kichwa anakimbia hovyo barabarani bila kichwa, ikabidi kila nikimjibu niwe naweka angalizo la untenyekevu sana, kwamba jinsi anavyoandika maneno mengi halafu hayana hoja ndani yake anatia shaka utimamu wa akili zake; ndioo kidogo akaacha, anajibu short kidogoYani we jamaa ni mpuuzi kweli.
Nasikitika baba yako alipata hasara kutoa pesa zake kukusomesha, bora angenywe bia tu, atoke kitambi.
Hata ccm wenzake wanajuata huu mzaha walioufanya kwenye maisha ya watanzania kwa kumpa nchi mtu mshamba anaeona kila kitu anafaa kufanya maamzi ya watu milioni 50+ kwa kujifanya eti ukiwa rais hukosei utadhani katoka mbinguni ilihali ni binadamu kama binadamu wengine na mapungufu yao.Hizo ni jitihada za kijinga kuiondoa serikali kwenye kuwajibika na majanga. Yale yale ya tetemeko la Kagera.
Serikali za hivi zisizo na kuwajibika kwa watu wake ni za nini? Ukweli mchungu ni kuwa serikali za namna hii hakuna mtu anaweza kuzihitaji.
Kuna ndugu yako yeyote au jirani yako amekufa kwa Corona?
ππππππππ€£π€£ Yaani jamaa linaandika kama kuku aliyekatwa kichwa anakimbia hovyo barabarani bila kichwa, ikabidi kila nikimjibu niwe naweka angalizo la untenyekevu sana, kwamba jinsi anavyoandika maneno mengi halafu hayana hoja ndani yake anatia shaka utimamu wa akili zake; ndioo kidogo akaacha, anajibu short kidogo
Yani we jamaa ni mpuuzi kweli.
Nasikitika baba yako alipata hasara kutoa pesa zake kukusomesha, bora angenywe bia tu, atoke kitambi.
ASHAKUM SI MATUSI.
Umeandika kwa hisia sana ila bado umeandika ujinga, na unatumia hisia zako ili ueleweke katika upuuzi wako.
NB: mimi naamini hao mabeberu wangekua wana nia ya kutusaidia wangeleta hiyo chanjo bure, maana here we are talking about the survival of the human race!, hiyo chanjo nyi mnaisikia tu lakini ni very expensive! refere SOUTH AFRICA,.
Pia kisa tulipokea chanjo zingine haimaanishi ndo tupokee zote, nadhani katika huu ugonjwa(corona) umekaa kisiasa na maslahi sana ndo maana hata raisi amechukua maamuzi magumu katika matamko aliyoyatoa(sio kazi rahisi kua raisi) .
MUAMAR GADDAFI AMEWAHI KUYATABIRI HAYA YOTE, kipindi cha uhai wake! kua yatakuja magonjwa ya virusi na tutauziwa chanjo zaidi na zaidi!
USISAHAU KUNAWA MIKONO KWA MAJI TIRIRIKA, KUVAA BARAKOA NA KUJITAKASA MIKONO YAKO KWA SANITAIZA, pia fanya mazoezi na kula matunda kuboresha kinga ya mwili, Huku ukiendelea kuchapa kazi kukuza kipato chako kwa ajili ya wanao na taifa kiujumla!
kumbuka:- Afya yako ni jukumu lako namba moja, usiibebeshe serikali kwa asilimia kubwa!.