Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Meko anahofu ya uchumi jamani tufanyeni kazi tusidolole kiuchumi wakulima limeni getegete!

Ila kuna mahali nina dukuduku hao watakaowekwa karantini wataweka kwa gharama zao kwanini?

Ni kwamba wanajaribu kupunguza wasafiri kuja huku au?
 
Wanaotoka nje watakaa kwenye karantini kwa siku 14 kwa gharama zao! Hapo kashindwa kusema wabaki huko huko hadi ugonjwa uishe
 
watu wachape kazi. hizo kazi ni zipi wakati serikali yake imefulia haina uwezo wa kuzalisha ajira?
Mkuu sis huku tumelima mazao yamekomaa tuko busy kuvuna mahindi tuunze nipata alteast 18mil,maisha yanasonga sikumbuki chochote kuhus agricultural eng,niliyoisama pale sua 2017,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom