Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Wewe ndio uache ujinga...
Mgonjwa wa Kwanza amepimwa ameonekana hana covd 19... Au ndio unasubiri ufafanuzi au tafsiri kutoka kwa Polepole...

Kwaiyo yule mgonjwa wa kwanza wa Arusha yalikuwa maigizo.. na wagonjwa waalishafikia 6.... Leo 12.

Nikukumbushe tu idadi ilikuwa 1 ikaja 3 ikaongezeka 6. Au leo tumeanza upya kuhesabu ?
 
Kwaiyo yule mgonjwa wa kwanza wa Arusha yalikuwa maigizo.. na Iwagonjwa waalishafikia 6.... Leo 12.

Nikukumbushe tu idadi ilikuwa 1 ikaja 3 ikaongezeka 6. Au leo tumeanza upya kuhesabu ?
kesho huenda ikapungua maana watu wanasali sana na wanasema ni ugonjwa wa sijui watu wagani
 
Wewe ndio uache ujinga...
Mgonjwa wa Kwanza amepimwa ameonekana hana covd 19... Au ndio unasubiri ufafanuzi au tafsiri kutoka kwa Polepole...
A Chinese trial in 340 people showed that the virus tended to be cleared in four days in those who received the drug, versus 11 days in those who went without. Hiyo Ni taarifa WHO ,Unashindwa kutofautisha ,dalili na siku za kirusi kuisha mwili the viral disappeared even without treatment sawa wewe nyumbuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anasema tuombe mungu tusitishane.Kwa kuwa corona haijamuuwa mtu hata mmoja nchini

Sent using Jamii Forums mobile app

Trump alijifariji hivyo hivyo Marekani kuwa hakuna aliyekufa wakati huo; sasa wamefika maelfu anaficha sura yake!!! Kuchelewa kutoa maamuzi sahihi kwa kutosikia ushauri ni kosa linalostahili adhabu kali kwani umesababisha watu kuweza kupoteza maisha.
 
Ni vyema kuchukua tahadhari kabla ya hatari. Elimu ya kutosha izidi kutolewa juu ya ugonjwa huu na watu kutopuuzia maagizo tunayopewa na viongozi. TANZANIA BILA CORONA INAWEZEKANA.
 
A Chinese trial in 340 people showed that the virus tended to be cleared in four days in those who received the drug, versus 11 days in those who went without. Hiyo Ni taarifa WHO ,Unashindwa kutofautisha ,dalili na siku za kirusi kuisha mwili the viral disappeared even without treatment sawa wewe nyumbuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Unanipotezea muda we kilaza...

naongelea khs Tz wewe unaleta ufafanuzi wa habari ya China.
 
Back
Top Bottom