Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

Nchi za kiarabu nyingi zimefunga misikiti watu waswali majumbani mwao.

Nashangaa pamoja na juhudi zinazochukuliwa kwa nini misikiti na makanisa yasifungwe???

Au huko ndio dawa ya corona ilipo??? Mambo ya corona go corona go....halafu ita go kweli??!!

Take a total responsibility close all the beaches, all the churches and mosques just to mention a few.

Migahawa na restaurants ziwe wazi lakini watu wachukue take away.

Zoote hizi ni baadhi ya hatua wenzetu waliofanikiwa Ku tackle corona wanafanya.

Other than that mi naona tuna play act tu tuonekane we are doing something or rather we are being serious which isn't the case.
 
Tuchapeni kazi, ugojwa tunajipa hofu tu hakuna cha corona wala nini!

tufanye kazi leo Magufuli katoa speech inayoeleweka haina mizaha wala vijembe.
 
Mbona watu wanaokumbwa na mafuliko ya mvua ,hatusikii wakiipongeza awamu ya 5 kwa kuleta mafuliko?
 
Kwa huu uzembe tuliofanyiwa na viongozi wetu nachelea kusema kuwa huenda Tanzania ikaathirika zaidi na huu ugonjwa kuliko nchi yoyote kusini mwa hili jangwa la Sahara. Tumezembea, tumewekewa siasa za kiumalaya na kina Polepole. Siasa za kishenzi kama akili zao zilivyo za kishenzi! Tutapata somo tuliloandaa wenyewe!

Haiwezekani Rais wa nchi tena anasema eti "Kuanzia kesho" wala siyo leo watu wanaokuja kutokea nchi zilizpathirika wawekwe karantini! Alikuwa wapi kama kiongozi wa nchi?
 
Social distance - umbali kati ya mtu na mtu kuzuia maambukizo ni mita moja na nusu. Hili linawezekana kwenye daladala na sehemu za burudani?
 
Tanzania itakuwa Ni nchi ya Kwanza kwa afrika kupata tiba ya Corona...

Mkuu acha ujinga nazani hujui kitu kuhusu covid 19

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unalipwa ili kupiga mapambio na CCM... Basi kitengo Cha propaganda kinapwaya na hakina lolote la kutatua matatizo au mtazamo wa mbali wa nini kifanyike..

Kwa namna hii ndio maana matamko na maagizo yanakinza ya viongozi wa serikali na wachama...

Poleni Sana..
 
pamoja na hayo yoote bado mimi sina wasiwasi na nina amini hii ni kama mvua ilioku inanyesha sehemu fulani huku ni matone tu yanakuja, na kule mvua imeisha
 
For the first time in my lifetime,since he was minister ,i am together with Mr.John Pombe Joseph Magufuli.I like the way he approaches this matter.

No need for panic,but carefully and gradually responding to the circumstances, accordingly.

Wakati mimi nawaza kuhusu watoto wangu na usalama wao,yeye lazima aende into every detail of every life in this country,pamoja na corona ila lazima awaze kuhusu uchumi wa nchi,na mambo mengine mengi ambayo if we mess around with them then hatutakuwa na nchi.

We are leading our families and maybe a few others maofisini mwetu,ila yeye anaongoza watu zaidi ya 57 million!

Kuna roho ngumu na utulivu ambao anapaswa kuwa nao sometimes to make decisions ambazo sio rahisi sana ila ndio zinatakiwa nyakati fulani katika situation fulani. Na akiwa hivyo yeye kiongozi,anatupa ujasiri na sisi na ndipo vichwa vinatulia, ubunifu unakuja, hatua zinachukuliwa,mambo yanawezekana.

God be with you Mr President,May God be with all of us.
 
Back
Top Bottom