Lyaule Kitundu
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 758
- 1,029
Ni Jambo la kheri kusikia Mgonjwa wa kwanza amepona kabla hata ya kutimiza siku 14 tangu apimwe.. Pascal anaweza kuwa sawa eeeh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba zinachanganya eeeh..maana ummy alishatangaza 6 now Leo tunaambiwa 4 ndio wa kutoka nje..Sasa tushike lipi, la Ummy, polepole au Jiwe?Duh...!.
P
Mkuu sis huku tumelima mazao yamekomaa tuko busy kuvuna mahindi tuunze nipata alteast 18mil,maisha yanasonga sikumbuki chochote kuhus agricultural eng,niliyoisama pale sua 2017,watu wachape kazi. hizo kazi ni zipi wakati serikali yake imefulia haina uwezo wa kuzalisha ajira?
Wewe Ni mwongo huko makini kusikiliza kabisa unaonyesha jinsi gani uko mtupu kichwaniNamba zinachanganya eeeh..maana ummy alishatangaza 6 now Leo tunaambiwa 4 ndio wa kutoka nje..Sasa tushike lipi, la Ummy, polepole au Jiwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha ujinga nazani hujui kitu kuhusu covid 19Tanzania itakuwa Ni nchi ya Kwanza kwa afrika kupata tiba ya Corona...
Na kutibu Mgonjwa kabla ya siku 14 tangu apimwe.. hii Ni kwa juhudi za awamu ya tano tutembee kifua mbele nowTanzania itakuwa Ni nchi ya Kwanza kwa afrika kupata tiba ya Corona...
Akijibu unitag mkuuPascal Mayalla ukuje hapa kutuelezea Jiwe anasema wagonjwa 4 TU ndo imported cases, Je bado unasimamia huu Ni ugonjwa wa wazungu? Hauambukizwi Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo Ni mawazo yako afu kile kiswahili Kiko very clean nashindwa kuelewa kwanini hujaelewa mkuuWanaotoka nje watakaa kwenye karantini kwa siku 14 kwa gharama zao! Hapo kashindwa kusema wabaki huko huko hadi ugonjwa uishe