Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Bado naamini huu ugonjwa hatujaumbiwa sisi ngozi nyeusi ndio maana mpaka sasa hivi hakuna mwafrica mweusi aliyekufa kwa corona...

Huyo mama atapona na ataendelea na mishe zake bila kuleta athari yoyote kwenye jamii,
Itakuwa aibu kubwa sana ngozi nyeusi kufa na mafua na sizani kama itatokea....

Alafu hii taarifa imekaa kisiasa sana ..... Imewalenga upande wa pili baada ya kusema mwezi wa 4 watakuwa na mikutano nchi nzima [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Iwapo Corona ikifika Dar-es-salaam tutakufa sana, kutokana nahuu usafiri wetu wa mwendokasi maana tunajazana sana mpaka kupita kiasi.
Eeeh......mungu tunusuru
 
basi kusiwepo na uchaguzi mwaka huu, Rais atangaze dharula tupigie kura mitandaoni na si mitaaani 😉
 
Wakuu huyo mgonjwa wa corona aliyekaa hotelini ili kujikinga na corona je ni hotel gani aliyokaa? watu wa hiyo hotelini kama wahudumu je nao hawajaambukizwa wakati anaenda hospitali dereva naye atakuwa kwenye hali gani na kama alikuwa na abiria wengine hali itakuwaje?

Mgonjwa yupo Hospitali ya Mount Meru Arusha, je hotel aliyekuwepo ni ipi?
 
Nilisema humu ndani tufunge mipaka mapema. Sijui ni njaa ya watalii au ni nini.
 
Umpate baba yako na mama yako kwanza,baradhuri makubwa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coronavirus yeyote anaeweza pata hila wanaokufa ni wale wenye immune system dhaifu mainly wazee.

Wale walio chini ya umri wa kuitwa wazee wanaokufa asilimia kubwa ni wenye serious medical condition kama HIV, type diabetes, etc. Otherwise vijana wengine wanapona kirahisi (walau wengi wao).
 
Nimeshangaa kuona hospitali ile ile iliyotajwa na Kigogo ndiyo ile ile imetangazwa kua mgonjwa yupo apo.Mwisho kwanini serikali iliendelea kupokea ndege zinazotoka kwenye nchi zenye huu ugonjwa.Mwisho ,CCM na serikali yake ebu acheni kungangia vitu
 
Mwenye kujua atufahamishe jaman! Huyo mgonjwa amepatkan mkoa gan?
 
Katika nchi ambayo watu watakufa Kama nzige Ni Tanzania, maana Tanzania ilikuwa na nafasi ya kuchukua hatua mapema kwa kuzuia safari za watu kutoka na kuingia Ila walipuuzia, Sasa wacha ituonyeshe makali
Kweli kabisa. Tulikuwa na muda kutosha kuchukua hatua lakini tulikuwa busy na mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…