digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hapo kwenye mwendokasi serikali iwajibike
Hatari.
Wakati wengine wanazuia watu kuingia nchini kwao nchi kubwa kama Marekani sisi tukajidai eti tuna vipimo uwanja wa ndege, marekeni wao hawana vipimo uwanja wa ndege? Marekani alizuia watu kutoka ulaya kuingia kwake sisi tukajifanya tuko vizuri kuliko Marekani.
Ccm hawana malengo mazuri na afya za watanzania. Sasa subiri tuipate fresh.
Mama yupi?Huyo mama anatupenda sana watanzania kwa kujifanyia safe isolation kiukweli anastahili kupewa tuzo kubwa sana kwa kuokoa mamia kama sio maelfu ya watu
Pesa ya kununua vifaa tiba hatuna hela yote tunanunualia ndege na kujengea sgrKumbe vile Vipimo joto vya airport ni kazi bure..wamepita Wangapi kwenye airport wenye design kama huyo mama... Ni suala LA muda hapa tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah! Kapimwa kakuta hana akaamua yeye mwenyewe kujiweka karantiniYan huyo mwanamke jmn
Mtu alipofikia kulikuwa na mgonjwa hlf kaamua kurudi bila kupimwa
Ona sasa ameleta majanga nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa busy na CHADEMA. Pamoja na miito yote nini walisikia.
Serikali zetu hizi mbona shughuli?
Na bado.
Kwa sababu koleo lishavunjika bado si mwisho wa uhunzi. Tunaendelea kuwaitisha wachukue hatua maombi pekee kwa Mungu hayatoshi.
Kupitia hili tangazo na comments za wanajf, nimegundua kati ya forums zote duniani,hii ni forum ambayo imejaa watu wanapenda kuchukulia mambo kisiasa zaidi.Mbaya zaidi kuna kikundi cha watu wapumbavu na hayawani wanaodhani Covid-19, ipo kwaajili ya kuwakomboa wao,na kutimiza matakwa yao ya kisiasa.Watu wa aina hiyo wanaofurahia utawapata Jf tu, na sio kwenye platform nyingine za kijamii.Narudia tena Huo ni upumbavu na upunga wa hali ya juu.Na kama haya madudu mnayo yaandika humu, ndo yale yaliojaa mioyoni mwenu,Anapokaa sizonje mtapasikia tu.
Waweke vituo vingine mikoani pia.Ndugu Dar ndo Tanzania, yaan uache kuokoa wa TZ almost 10mil uelekeze nguvu huko kasulu ndani ndani kwenye watu elfu 30
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa uku tz mbona tutapukutika sanaTanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.
Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.
Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.