Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Every living thing has the characteristic of perishing, what do you fear ? With me whatever it comes,kama ni wakufa wacha nikufe,cause I have no power of stopping death,my fellow Tanzanians get ready as it is not known what will take your soul

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye ndege alikaa na nani? Wakati anashuka ndege hakushika sehemu hakujishika kwenye ngazi za ndege??.. Hapo uwanjani hakugusa sehemu kwa mikono yake?? Yani mpaka mda huu huo uwanja ilibidi uwe ushafungwa kabda hawajatangaza yani toka jana kaingia kaenda hotelini amepita sehemu ngapi kashika vingapi kweli hatuko serious asee.. Anyway hii nchi ni siasa kwa kwenda mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi mkubwa wewe unalala unaota siasa za kishoga muda wote.
Hatari.

Wakati wengine wanazuia watu kuingia nchini kwao nchi kubwa kama Marekani sisi tukajidai eti tuna vipimo uwanja wa ndege, marekeni wao hawana vipimo uwanja wa ndege? Marekani alizuia watu kutoka ulaya kuingia kwake sisi tukajifanya tuko vizuri kuliko Marekani.

Ccm hawana malengo mazuri na afya za watanzania. Sasa subiri tuipate fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui nirudi kijijini? Msongamano Dar na kasi ya maambukizo ya corona(transmisssibility) ni jambo la kutafakari.
 
Kupitia hili tangazo na comments za wanajf, nimegundua kati ya forums zote duniani,hii ni forum ambayo imejaa watu wanapenda kuchukulia mambo kisiasa zaidi.Mbaya zaidi kuna kikundi cha watu wapumbavu na hayawani wanaodhani Covid-19, ipo kwaajili ya kuwakomboa wao,na kutimiza matakwa yao ya kisiasa.Watu wa aina hiyo wanaofurahia utawapata Jf tu, na sio kwenye platform nyingine za kijamii.Narudia tena Huo ni upumbavu na upunga wa hali ya juu.Na kama haya madudu mnayo yaandika humu, ndo yale yaliojaa mioyoni mwenu,Anapokaa sizonje mtapasikia tu.
 
Wewe unaingea Kama nani? Polepole au

aisee, vipi wahudumu wa hiyo hotel ambapo alijikarantini!?
 
Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air.

Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna mwanaume alipata virusi vya corona, baadae aliamua kurudi nchini na alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi kisha akaamua kujitenga na kujiweka karantini yeye mwenyewe na kukaa hotelini.

Baadae mwanamke huyo alianza kujisikia vibaya na kuamua kwenda hospitali ambapo alipopimwa akathibitika kuwa na virusi vya Corona.

sasa uku tz mbona tutapukutika sana
 
Watoto sio makini katika kukabiliana na masharti ya kinga wakati wa milipuko ya magonjwa ya kuambukiza. Naishauri serikali izifunge shule zote kuanzia chekechea hadi vyuo kwa wiki tatu ili kudhibiti maambukizo yasije kuenea kupitia watoto wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom