Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

The Dark Father,
Uingereza wazee above 60 wameambiwa wajiweke gueranteen,hamna kutoka home,lakini hapohapo nchi zingine wanakufa hata walio below 60
 
Dah yametukuta hatimae,, imekuwa sio stori tena..

lakini bado muda tunao,,serikali zuieni hizo safari huenda ikapunguza kusambaa
 
Corona imeshaingia .badala ya kulalamika toa suggestion ambazo zina akili sio kukaa kulalamika coz hakutaiondoa hiyo corona nje ya hapo na ww utakuwa ni "taahira kama mataahira wengine"

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu suggestions zipi zinahitajika? Mbona zimekuwapo nyingi tu hata kabla ya ugonjwa kuingia? Hizi zimekuwapo tokea kwenye kusitisha ndege tokea mataifa athirika, kuweka wageni quarantine at least 14 days, nk nk.

Zingine kusitisha mikusanyiko, kuahirisha deadlines za kodi TRA, kusimamisha miradi hasa mikubwa kama ya SGR nk. Lengo likiwa kujipanga zaidi na raslimali fedha.

Mawazo wamepewa sana wameyapuuza to our peril.
 
Wewe unakisia tu na huwezi thibitisha vyovyote madai yako unaropoka ka mpumbav
 
sitaki kuamini kama nitakufa na corona, babu aliniambia chelewa,chelewa utakuta mwana si wako. ila sikumwelewa, now naanza kupata maana yaa ule msemo,
tulikuwa na nafasi ya kuzuia huu ugonjwa ila waliziba masikio, ila ndio hivyo tena.

kusema ukweli wanaJF tuache kulaumu tuwe serious, tuagane mara mwisho,mwisho . japo naamini tutapita japo sidhani mungu tusaidie.
 
Kenya siku ya leo wamepunguza garama za kutuma na kupokea miamala kwenye simu na garama za kupiga simu kama njia ya kuwajengea wananchi uwezo dhidi ya CV 19.
Kwa maana wanasisitiza watu kulipa kwa electronic Sasa,sababu noti Ana pesa kwa ujumla zinasaidia kusambaa huu ugonjwa,mtu anapenga kamasi,then anakamata pesa kulipia huduma,wewe mpokeaji wa hiyo pesa tayari unakuwa umenasa bila kujua
 
Tulisema hapa wazuie watu kuja ona Sasa

Mnakera sana aisee mnajifanya nyie hamshauriki

Kujitambaa kwingi Sasa #tutaelewana tu

Haya mdudu huyo hapo kashaingia Tz na hivi maskini tutaisha Kama kuku na mdondo[emoji45][emoji37][emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…