Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Waziri upo serous kwelii!!!!?
Kuwa mgonjwa anaendelea vizuri?
Anyway hapa kuna namna katika ugonjwa huu.

Tuambieni mgonjwa alikuwa hoteli gani na je mmechukua hatua zozote juu ya wahudum wa hoteli aliyokuwepo? maana hata kushika mlango tu ni njia ya kuambukiza je mlango alokuwa ameushika wahudum hawaushika?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
aona maandalizi yetu ni ya kimasihala sana. Tofauti na ukibwa wa tatizo.

Wanasema mtu akipata anaweza kutoona dalili in 14 days. Lakini bado anakuwa na uwezo wa kuambukiza kama kawaida. Imagine Tunavyojazana kwenye Daladala na mwendokasi kwa Dar hapa kwa mfano. Halafu 1 awe nao, kila siku anapanda mwendokasi kwenda Job.
 
sasa asingeamua kujifungia mwenyewe angechanganyikana na raia baada ya vipimo vyenu fake kutomtambua kua anaumwa unafikir nini kingetokea mpaka sasa ?

je hapo alipokua anaishi pako salama ?
 
Well said,maana kuna watu hapa wanakuwa kama wamepata sababu ya kuilaumu serkali,wakati serikali iko kuhakikisha nchi inakuwa salama,tuwe watulivu,huku tukisubiria tamko la serikali ni jinsi gani tuendelee kuchuka tahadhari badala ya kutoa lawama...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya siku ya leo wamepunguza garama za kutuma na kupokea miamala kwenye simu na garama za kupiga simu kama njia ya kuwajengea wananchi uwezo dhidi ya CV 19.
 
MT. Yuda Tade utuombee dhidi ya janga hili. Nakukabidhi Familia yangu yote Kwa ajili ya ulinzi wako kwa jina la Yesu Kristo. AMINA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawawezi funga na hivi si umesikia mgonjwa alijipeleka mwenyewe hosp so angeamua kukausha mpaka sasa hivi ingekua Tanzania haijaingia Corona
Mkuu kuhusu watoto wako sio mpaka shule wakwambie wamefunga!!!

Chamsingi wazuie watoto wako kwenda shule mpaka pale Mambo yatakapokuwa shwari!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.
Why should i believe you???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadeki! Hafi Mtu kibwegebwege hapa
Mkuu huu ugonjwa mapafu yanacollapse kabisa yaani hauna mbabe,,Ni jinsi mwili wako utakavyoupokea tu.
Mwingine unamuona anatembea mtaani,ghafla tu chali..
Inategemea mtu na mtu,
Wengine wanapona ndani ya mda mfupi,wengine wanamchukua hata mwezi wanapona ama wanakufa.
Mwingine anaupata lakini yupi tu kitaa na hajui kuwa tayari anao
 
Hakimu Mfawidhi,
Hakuna nchi iliyofanikiwa kuzuia corona isiingie kwa kufunga mipaka
Ugonjwa huu umeibuka mwisho wa desemba 2019 huko, mpaka leo nchi 166 kati ya nchi zote 193 duniani zina wagonjwa wa corona
 
Wawape likizo mods tujimwage mwage au mnasemaje
pale chini mods wameandika, we hve our office in dar but we still operate virtually kuwa makini pamoja na likizo ila jamaa anaka na ka iphone kake ankulamba ban
 
Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.
Nina hakika kuna kiungo kingine unatumia kufikiri tofauti na kichwa.
 
Back
Top Bottom