pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Si mpaka mtu aweke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mpaka mtu aweke
Mimi nashauri kama safari yako sio mbali tembea kwa miguu..epuka dalaladala..na matamasha sijui ya music, sijui kanisa
native African na tulionana nae hospitalhuyo mtanzania ni black Tanzanian au Mweupe. sababu nina imani kubwa sana ni ueusi wetu. a bizarre idea, but that is it.
Ww vp marekani walifunga mipaka na bado wakapta sembuse bongo gonjwa limeshatimba na muhimu ni kupambana nalo tuTuliposema nchi ifunge mipaka tulikuwa tunaonekana wapuuzi.
Fungeni Mipaka yote.
Bado hatujachelewa.
Bora tukose hela za utalii nk lakini tuwe salama.
Nyakati ngumu hazidumu milele
Baki huko huko mjini, usituletee sie huku, mlijidai mnaishi kizungu huko mjini, usije huku.Sijui nirudi kijijini? Msongamano Dar na kasi ya maambukizo ya corona(transmisssibility) ni jambo la kutafakari.
Wewe ndiye utakayekufa kama nzige
Yatakapokuwa shwari liniMkuu sio mpaka watangaze!
Yaani Mimi kuanzia Leo watoto wangu hawakwenda shule!
Na hawataenda mpaka Mambo yatakapokuwa shwari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida test ya corona majibu Ni baada ya 24 hours.Hapo airport ni wangapi wamepita na vipimo vimezingua
Pole sana mazee Mungu awasaidie [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Is it coincidence????View attachment 1390037
Hii ni hoja ya kitaahira. Kwa sababu walifunga na wamepata basi hatukutakiwa kufanya?Mzee usiwe mjinga, hata waliofunga mipaka kabla bado wamepata corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu akifungwa afunguliwe kesi ya money laundry na uhujumu uchumi. Fikiria ndani ya muda mfupi alivyozurura, mara sweden, Mara Norway mara Ubelgiji kibaya zaidi anakwenda nyumba zenye wagonjwa, na bado akaja Tanzania, kwenye denge kasambaza, uwanja wa ndege kasambaza, hotelini kasambaza na hospital kasambazaTobaaaaaa
Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.Corona ilishaingia Tanzania ilikuwa swala la muda tu kutangaza, sisi sio Kisiwa.
Hizi nchi za kijamaa zina Siri sana, Mungu atunusuru isisambae zaidi.
Vile mnafiringwa ukoo mzima unadhanibkila mtu yuko hivyo. Watoto wa makahaba wanajulikana tu
Wasalaam,
Sawa ndio mgeni CORONA keshaingia Tanzania.
Lakini nafikiri hatutakiwi kupanic.
Maana HAMAKI ni mbaya kuliko ugonjwa wenyewe.
Tuendelee kujikinga huku tukiomba hili nalo lipite.
Mbona hata EBOLA ilitingisha lakini nayo ilipita.
Mungu ibariki Dunia
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania.
hahahah ndio dunia ilivyo.I cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuni nisuje nikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair