Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Tuliposema nchi ifunge mipaka tulikuwa tunaonekana wapuuzi.
Fungeni Mipaka yote.
Bado hatujachelewa.
Bora tukose hela za utalii nk lakini tuwe salama.
Nyakati ngumu hazidumu milele
Ww vp marekani walifunga mipaka na bado wakapta sembuse bongo gonjwa limeshatimba na muhimu ni kupambana nalo tu
 
Wizara ya afya, they are supposed to do traceability check.

See how many people she may have been in contact with;

On the plane, and where are those people?

At the clearance, and where are those people?
 
Tobaaaaaa
Huyu mtu akifungwa afunguliwe kesi ya money laundry na uhujumu uchumi. Fikiria ndani ya muda mfupi alivyozurura, mara sweden, Mara Norway mara Ubelgiji kibaya zaidi anakwenda nyumba zenye wagonjwa, na bado akaja Tanzania, kwenye denge kasambaza, uwanja wa ndege kasambaza, hotelini kasambaza na hospital kasambaza
 
Corona ilishaingia Tanzania ilikuwa swala la muda tu kutangaza, sisi sio Kisiwa.
Hizi nchi za kijamaa zina Siri sana, Mungu atunusuru isisambae zaidi.
Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.
 
Tutaambiwa msafara wa CHADEMA kwenda kumchukua Mwamba Mbowe Segerea ndio ulioeneza Corona virus nchini. Subiri tamko la Mambosasa!
 
Wasalaam,

Sawa ndio mgeni CORONA keshaingia Tanzania.

Lakini nafikiri hatutakiwi kupanic.

Maana HAMAKI ni mbaya kuliko ugonjwa wenyewe.

Tuendelee kujikinga huku tukiomba hili nalo lipite.

Mbona hata EBOLA ilitingisha lakini nayo ilipita.

Mungu ibariki Dunia
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom