Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

kwa kuwa paul kagame ni rafiki mkubwa wa yule jamaa na kwa kuwa tayari nchi ya kagame imeshatangaza uwepo wa mtu mwenye corona, bila shaka yule jamaa na yeye atamruhusu ummy atangaze uwepo wa corona tz badala ya kuendelea kukanusha.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
niliandika hii kitu hivi karibuni baada ya rwanda kutangaza uwepo wa mtu mwenye corona. wametema ndoano.
 
Wengine walikuwa wanapiga marufuku watu kuingia nchi zao.

Sisi tunaleta ujuaji.

Imekula kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tulipiga kelele humu, sitisheni watalii mtatuumiza wakawa wanaweka pamba masikioni, sasa shughuli imeshakuwa mbaya, je tuna uwezo wa kutrace watu aliokuja nao kwenye ndege ili tuwapime, na kama nao wameshaambukiza wengine vipi itakuwaje?

Katika watu tuliokuwa tumebarikiwa time ya kucontain hili janga ni sisi lakini tukaleta kujivutavuta sasa shughuli imeingia
 
Niko najiuliza, mamlaka husila zimefuatilia wale wote huyo mama alikuwa amekaa nao jirani kwenye ndege, na ndugu zake wa karibu waliompkea au kuishi naye???
huyu ummy mwalimu si alibisha, alafu leo anakubali, tena anatudanganya kuwa huyo mama aliingia nchin tarehe15th march wakati tukio hilo tukio lilipotiwa tar 11st march,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom