Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Na hili tangazo limekuja baada ya mbowe kutangaza mikutano ya hadhara nchi nzima........
Natamani ingekua maamuzi ya watz basi tungeshauri uanze na jiwe ambaye alituma Waziri majuzi atuambie watz kua wachina wataendelea kuja maana ni rafiki zetu kitambo
 
Hebu tusihamishe magoli hapa, kuna watu wanapaswa wawajibike, huyo mgonjwa aliingia na hakuwekwa karantini, kama angekaa karantini tusingekuwa tunamzungumzia leo. Watu wanafanya kazi kwa mazoea, uongozi wa airport uwajibike, waziri wa afya awajibike.
 
Sehem za hatari zaidi
-Mwendokasi
-Daladala
-Misikitini
-Makanisani
-Shuleni
-Masokoni(Kkoo)

Watanzania tuko careless Sana
Wenye imani tuombe sana
Wasio na Imani Mnajua cha kufanya

Hali inawez kua viral [emoji17][emoji17]
 
Back
Top Bottom