Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Hakimu Mfawidhi,
Imeisha hiii,tutalufa kama kuku wa kideri au mdondo. Watu wako busy na chadema huku kuna janga linakuja still chadema,hana habari ya kufunga mipaka kaenda kukagua madaraja atapita nani!? na tukifa na hiyo corona atamuomgoza nani?? Tuna watu mabogus kweli wanaotuongoza,wanatumia mihemko badala ya akili
Wakat wa uchaguz c huu kachukue form genius utuongoze .au 2015 ulikatazwa kugombea.

Ukiona unapenda kulalamika sana jua ww ni mpumbavu na hata ukiambiwa hautaamin hiyo ndo sifa kubwa ya mpumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke mjinga Sana..kaiepusha familia yake na Corona kwenda kuwaambukiza wengine hotelini. Iwish wizara ya watamfanyia uchunguzi coz navyofaham kabla hujaingia nchini Kuna declaration form mtu anatakiwa ajaze kuonyesha Hali ya Afya yake. Na uhakika hakujaza taarifa za kweli coz endapo angejaza ukweli lazima wangembakiza
 
Katika nchi ambayo watu watakufa Kama nzige Ni Tanzania, maana Tanzania ilikuwa na nafasi ya kuchukua hatua mapema kwa kuzuia safari za watu kutoka na kuingia Ila walipuuzia, Sasa wacha ituonyeshe makali
Yani Tz mtakufa vibaya mno hamtaamini macho yenu hasa wa kwenye kadampo kaitwacho dar
 
Ila Tanzania viongozi hatuna kabisa maana alichotaka kukifanya leo waziri wetu huyu [emoji22] [emoji40][emoji40]
 
Duh,Aliamua kujiwajibisha mwenyewe kwa kujitenga,apewe tuzo ya nobel huyo mmama aisee
 
Ngoja virusi viingie hapo ufipa, ndio mtatafutana na hivyo vijimikutano vyenu vya hadhara.
We don't care, tena wataanza kufa manyumbu wenzio wa ccm kama siafu yani kwa makundi!

Yani tena nakuja Tz kukisambaza makusudi kwenye majumba ya ccm ili mpukutike
 
Case iliokua confirmed ni moja lakini watu waliokua exposed ni wengi. Msijiumize kichwa na sanitizer zilozopanda bei. Mnaweza kutumia hata vodk/konyagi/ kvant kusafishia mikono. Jik pia inafaa ila inabido iwe diluted na maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom