Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Man of the match
Screenshot_2020-03-16-13-07-29.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukweli hatupo mahali salama!

Mtu anaingia nchini 15 anapimwa Kwenye uwanja wanagundua hana homa, baadae mgonjwa akiwa mgonjwa akiwa pekeake anaanza kujisikia vibaya anaamua mwenyewe kwenda hospital Ndo anapimwa anakutwa na virusi vya corona.

Je, ni kwamba virusi vya Corona havionekani hadi muathirika aanze kuona dalili?

Kama Ndo hivyo ni wangapi wameingia nchini wenye virusi vya corona tunasubiri hadi waanze kupata maumivu Ndo tujue kua huyu ni mgonjwa wa corona?

Kuna udhaifu mkubwa sana Kwenye hatua zinazochukuliwa kutoka na maelezo ya jinsi mgonjwa huyu amejulikana.

Ina maana tuna watu wengi wenye virusi vya corona nchini lakini tunasubiri hadi waanze kupata maumivu Ndo tuwajue.

Kwa nini serikali inavyoona haiwezi kuwajua wenye virusi vya corona kabla dalili hazijaanza kuonekana wasizuie wageni kuingia nchini au wakawa wanawekwa karantini kwa muda hadi watakapo jiridhisha?
 
Mtu anaachwa anapita kisa ni mtanzania utaratibu unajulikana awe na corona asiwe nayo weka karantin siku 14' ujinga huu magu fukuza wote kwanzia ummy had hayo mazuzu mengine hapo Airpot watanzania wakifa hatakua kasabisha huyu ummy na genge lake
 
Hapa ki ukweli tungetakiwa kusikia
Wameanza kufuatilia close contact wote. Pia hiyo hotel imewekwa karantini hakuna mtu anayeingia au anayetoka.

Je watumishi.waliomuhudumia kabla ya kuwa suspect nao wamewekwa karatini. Je hiyo ndege ilishusha watu wangapi siku hiyo bongo?

Je wamefuatiliwa. Je walioshika mizigo yake wametafutwa? Je yy amewezaje kutoka ulaya wakati alitakiwa kuwa karantini naada ya kuishi kwenye nyumba yenye mgonjwa?. Je siku 14 za karatini hazitoshi ili kujua pathogenesis yake? Maswali ni mengi sana. Kichwa kinauma hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ki ukweli tungetakiwa kusikia
Wameanza kufuatilia close contact wote. Pia hiyo hotel imewekwa karantini hakuna mtu anayeingia au anayetoka. Je watumishi.waliomuhudumia kabla ya kuwa suspect nao wamewekwa karatini. Je hiyo ndege ilishusha watu wangapi siku hiyo bongo? Je wamefuatiliwa. Je walioshika mizigo yake wametafutwa? Je yy amewezaje kutoka ulaya wakati alitakiwa kuwa karantini naada ya kuishi kwenye nyumba yenye mgonjwa?. Je siku 14 za karatini hazitoshi ili kujua pathogenesis yake? Maswali ni mengi sana. Kichwa kinauma hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atunusuru. Pia tuzingatie yale tunayoelekezwa na wataalam sekta ya afya. Tukiweza kuzingatia IPC ugonjwa huu si chochote. China wenzetu wameanza kufanya mass sterilization ili kuua vijidudu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama yetu hata akipona apigwe kesi ya uhujumu uchumi au utakatishaji wa $2.5bn

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Back
Top Bottom