mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 512
Ngoma ilishatinga kitambo!Tusilalamike Sana tuombe mungu tu afanye rehema zake ila korona ingeingia tu TZ ila kinachosikitisha umeingia kizembe wangeweka sheria ndege zinazotoka sehem kumeathiriwa Zaid watu wote wanawekwa karantin siku 15 wanapimwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana vipi kuwa mgonjwa tarehe 15 kapita uwanja wa ndege akiwa hana dalili yoyote na tarehe 16 ithibitishwe ana corona?!!!
Huyo mwanamke iweje atoke matembezi majuu atue saa 10 jioni KIA na kuishia hotelini badala ya kufikia kwake??!! Au alikuwa anasubiria saibaba ya saa nne yenye bei nafuu ili aendelee na safari?
Danganyeni wadanganyika, serikali ya kiki
Sent using Jamii Forums mobile app