Tayarihuku chuga mjini naona kila mtu kavaa mask,,,
shit is real........
Et danga[emoji36]ila akina mama ni wabishi kinoma, yaani waliamniwa msiende kuzurura zurura lakini wapi ona sasa 'danga' la ubeligiji na Denmark litakavyo tupukutisha…….
Haki i pray upate korona na mfe familia nzimaKamanda Mbowe keshatangaza mikutano ya hadhara nchi nzima, duh.
Wakat wa uchaguz c huu kachukue form genius utuongoze .au 2015 ulikatazwa kugombea.Hakimu Mfawidhi,
Imeisha hiii,tutalufa kama kuku wa kideri au mdondo. Watu wako busy na chadema huku kuna janga linakuja still chadema,hana habari ya kufunga mipaka kaenda kukagua madaraja atapita nani!? na tukifa na hiyo corona atamuomgoza nani?? Tuna watu mabogus kweli wanaotuongoza,wanatumia mihemko badala ya akili
Yani Tz mtakufa vibaya mno hamtaamini macho yenu hasa wa kwenye kadampo kaitwacho darKatika nchi ambayo watu watakufa Kama nzige Ni Tanzania, maana Tanzania ilikuwa na nafasi ya kuchukua hatua mapema kwa kuzuia safari za watu kutoka na kuingia Ila walipuuzia, Sasa wacha ituonyeshe makali
Nawaza watoto huko mashuleni jamani Mungu atusaidie
Tuliposema nchi ifunge mipaka tulikuwa tunaonekana wapuuzi.
Fungeni Mipaka yote.
Bado hatujachelewa.
Bora tukose hela za utalii nk lakini tuwe salama.
Nyakati ngumu hazidumu milele
I cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuni nisuje nikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair
We don't care, tena wataanza kufa manyumbu wenzio wa ccm kama siafu yani kwa makundi!Ngoja virusi viingie hapo ufipa, ndio mtatafutana na hivyo vijimikutano vyenu vya hadhara.
I cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuni nisuje nikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair
CCM sasa waache kuzurura na kufanya mikutana hovyovyo bila vibali