Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Ngoma ilishatinga kitambo!
Inawezekana vipi kuwa mgonjwa tarehe 15 kapita uwanja wa ndege akiwa hana dalili yoyote na tarehe 16 ithibitishwe ana corona?!!!
Huyo mwanamke iweje atoke matembezi majuu atue saa 10 jioni KIA na kuishia hotelini badala ya kufikia kwake??!! Au alikuwa anasubiria saibaba ya saa nne yenye bei nafuu ili aendelee na safari?
Danganyeni wadanganyika, serikali ya kiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Asimame Atuokoe Na Na Hii Kadhia
Hili Ni Bhalaa Zaidi Ya Nzige Na Madumadu
 
Kwa hiyo huo muunganiko hauuoni mpaka ithibitishwe na Serikali sio !?.

Hauoni upo uwezekano wa maambukizi zaidi hasa kutokana na Tabia ya huu Ugonjwa !?
Uwezekano siyo uhalisia bwashee....... Tusubiri taarifa ya wataalamu!
 
Ndo mana nikashauri wageni wawekwe kambi, hadi siku kumi na nne, au wazuie watu kuingia nchini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bwana yule hanampango na afya za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada wa Tanga hayupo serious, ningekuwa president ningemfukuza kazi.hakuchukua tahadhari ya kutosha, just shouting at what she doesn’t know
 
Mwananchi, Ndugu yangu, upo sahihi kabisa.

Hiki ulichoandika ndicho kilichonifanya niandike kwamba waliokuwa wameshafuatilia ABCs za huu mlipuko, walishajua kuwa ni inevitable.

Ndio maana kila nchi ikisharipoti mtu/watu wa kwanza, kinachofuata ni kusambaa tu.

Ndio maana pia, hata viongozi na watu mashuhuri wameshindwa kuukwepa.

kuanzia leo hii kuelekea miezi kadhaa mbele, tutakuwa na wakati mgumu.

Sent using LF Electromagnetic Waves
 
So hapa kuna connections alizifanya na baadhi ya watu hapo hapo airport,aliyemkagua passport kama aliishika naye aliwazoa virus Mungu jaalia labda alikuwa amevaa vifaa kinga,tax driver aliyempakia kutoka uwanja wa ndege to lodge naye ana hatihati akawa alivizoa na wote wapo mtaani hawazijui hali zao wapo wanafurahi na jamaa zao tu.......

Mungu atunusuru Watanzania tuna mtihani mkubwa sana kuliko hawa wanasiasa wanavyofikiri.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Safi sana umechambua vizuri na kitaalam
 
Pepe Hotel Arusha Imezingirwa hakuna mtu Kutoka Wala kuingia. Mgonjwa alilala hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…